Hivi kwanini IGP Mwema na Waziri wa Mambo ya Ndani wasijiuzulu?

Hivi kwanini IGP Mwema na Waziri wa Mambo ya Ndani wasijiuzulu?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
2,156
Reaction score
639
matukio ya hivi karibuni ya mauaji yanayohusishwa na udini,vurugu na mauaji ya watu wasio na hatia kama ya mwangosi,mauaji ya huko morogoro,singida na sasa vurugu za mtwara na matukio mengi ya kushindwa kuwajibikka kwa jeshi na wizara ni sehemu ya vitu vinavyonifanya nimni kuwa watendaji hawa wameshindwa kazi na kimsingi wnapaswa kujiuzulu haraka sana.vinginevyo wajiandae nao kwenda the hague huko watakapojibu kila aina ya swali ambalo hapa kwetu hawataki kujibu kama sio hawaulizwi.
 
mara nyingi ukitowa mada za ukweli watu hawachangii au hujaribu kupindisha fact
 
Hivi Raisi wa Zanzibar na mawaziri wake hawana kazi? na kama wanayo ni ipi maana naona ni kulaumu wabara kila siku wakati Zanzibar kuna viongozi ambao hawana kazi zaidi ya Zanzibar!!!
 
Hivi tukio kama la ghasia za mtwara, IGP ajiuzulu kwa kigezo gani. Kwani yeye ndo kasema gesi iende DSM, au yeye ndo kahamasisha watu waandamane. Mbona sikuelewi.........
 
Back
Top Bottom