Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 639
matukio ya hivi karibuni ya mauaji yanayohusishwa na udini,vurugu na mauaji ya watu wasio na hatia kama ya mwangosi,mauaji ya huko morogoro,singida na sasa vurugu za mtwara na matukio mengi ya kushindwa kuwajibikka kwa jeshi na wizara ni sehemu ya vitu vinavyonifanya nimni kuwa watendaji hawa wameshindwa kazi na kimsingi wnapaswa kujiuzulu haraka sana.vinginevyo wajiandae nao kwenda the hague huko watakapojibu kila aina ya swali ambalo hapa kwetu hawataki kujibu kama sio hawaulizwi.