HahahahaHivi kwanini hawan jamaa hawajawahi kuwa na uzi mzuri hata kumshinda Azam FC? Kwanini wasifanye mpango wa kujifunza kwa wataalamu wa KIT kutoka Dar es Salaam Young Africans SC?
Maana walitengeneza hulka kubwa sana kuhakikisha watu wawe makini na Uzi ujao, Uzi ulivyotangazwa tu kila mtu akaishiwa nguvu.
Halafu kwanini wanawang'ang'ania hawa UhlSport. hawa jamaa hawajawahi kubuni jezi. Wanachofanya ni kuiga bunifu za kit producer wengine.
Hahahaha
Uhsports = Kasssim Dewji
Kassim Dewji = ?
Halafu feki nyingi kuliko original ,sijui km wanapata faida vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ni vichekesho kuanzia Msemaji wao hadi Ng'ombe Mnyama Mooooo!!Hivi kwanini hawan jamaa hawajawahi kuwa na uzi mzuri hata kumshinda Azam FC? Kwanini wasifanye mpango wa kujifunza kwa wataalamu wa KIT kutoka Dar es Salaam Young Africans SC?
Maana walitengeneza hulka kubwa sana kuhakikisha watu wawe makini na Uzi ujao, Uzi ulivyotangazwa tu kila mtu akaishiwa nguvu.
Halafu kwanini wanawang'ang'ania hawa UhlSport. hawa jamaa hawajawahi kubuni jezi. Wanachofanya ni kuiga bunifu za kit producer wengine.View attachment 1536885View attachment 1536886View attachment 1536887
Agent Tanzania ni KDKwamba Uhlsport inamilikiwa na mtazania au?
View attachment 1536892
Simba huwa hatutegemei mapato kutoka kwenye jezi, ndio maana anapewa hiyo tenda mtu tu, wala sio lazima mwekezaji au mfadhili... sijui km wanapata faida vzr
Kwa jezi hizi watafanya vibaya tena kwenye ligi kama msimu uliopitaHaina tofauti na ya msimu uliopita
Nadhani club Karibu zote Tanzania hazitegemei mapato ya jezi, labda Yanga naona wa najaribu kupitia GSMSimba huwa hatutegemei mapato kutoka kwenye jezi, ndio maana anapewa hiyo tenda mtu tu, wala sio lazima mwekezaji au mfadhili
Matajiri huwa hawapendezi.
Nyie Yanga mtachukua ubingwa wa fashion.
Kuna watu wanachaneli za kupiga hela hapa mjini.
Hivi kwanini hawa jamaa hawajawahi kuwa na uzi mzuri hata kumshinda Azam FC? Kwanini wasifanye mpango wa kujifunza kwa wataalamu wa KIT kutoka Dar es Salaam Young Africans SC?
Maana walitengeneza hulka kubwa sana kuhakikisha watu wawe makini na uzi ujao, uzi ulivyotangazwa tu kila mtu akaishiwa nguvu.
Halafu kwanini wanawang'ang'ania hawa UhlSport. hawa jamaa hawajawahi kubuni jezi. Wanachofanya ni kuiga bunifu za kit producer wengine.
View attachment 1536897View attachment 1536898
Haina tofauti na ya msimu uliopita.