Hivi kwanini Jezi za Simba SC mara zote ni kichekesho?

Hivi kwanini Jezi za Simba SC mara zote ni kichekesho?

Timu yenye yenye hadhi na heshima kama Simba inatumia jezi feki, jezi za ovyo kabisa.

Simba wanatakiwa wafanye kazi na kampuni kama Adidas, Nike, umbro nk.
Uhlusport tuwaachie utopolo & co
Maneno mengi Sana halafu huna uwezo hata wa kununua jezi hizo, utaanza kusema bei ghali!
 
Back
Top Bottom