Hivi kwanini Jezi za Simba SC mara zote ni kichekesho?

Nilishangaa sana eti UMBRO alipigwa chinu kwenye tenda ya kutengeneza jezi za Simba, kumbe UHL ni ya hao hao kina MO.
 
Timu yenye yenye hadhi na heshima kama Simba inatumia jezi feki, jezi za ovyo kabisa.

Simba wanatakiwa wafanye kazi na kampuni kama Adidas, Nike, umbro nk.
Uhlusport tuwaachie utopolo & co
 
Wadhani Mo atarudishaje hela zake? No free lunch! Nunua tu!
Wakiingia makubaliano na kampuni kama umbro au Adidas walete bidhaa og lazima warudishe hela zao.
Mkuu hiyo mijezi yao mi naipitia mbali.
Natamani sana nivae jezi ya timu yangu lakini ni feki mno
 
Nilishangaa sana eti UMBRO alipigwa chinu kwenye tenda ya kutengeneza jezi za Simba, kumbe UHL ni ya hao hao kina MO.
Kwa hiyo unataka Mo atoe hela zake bila yeye kunufaika?

Hata hivyo Uhlsport siyo ya MeTL group!

Namshukuru Sana Mohamed Dewji kwa kuwekeza Simba sisi mashabiki tunafurahi kupitia uwekezaji wake.

Kikubwa Simba tujitahidi kucheza Champions league ili tuongeze mapato ya club yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…