EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Nikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military componentsMagereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je kwanini JWTZ haiko hivyo iwe na Mkuu wa JWTZ wa mkoa na mkuu wa JWTZ wa wilaya.nadhani Kuna nchi zina uongozi wa jeshi wa mkoa
Swali la kizushi mjibu hoja hivi hapa tz hamna kambi ya jeshiNikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components
Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Yap ipoSwali Hivi kuna mkoa hapa tz hamna kambi ya jeshi
Mfano?Yap ipo
Naunga mkono wazo lakoMajeshi yetu mifumo yao bado imekaa kiukoloni.
Yan ata linavyo jiendesha tu limekaa a kama kusave purpose ya Serikali za kikoloni.Naunga mkono wazo lako
Moshi, singida, geita, manyara, simiyu, na mikoa mingi baadhi mostly mipyaMfano?
Bado lina vijielement vya King's African RiflesYan ata linavyo jiendesha tu limekaa a kama kusave purpose ya Serikali za kikoloni.
Wafanyeje ili wawe kisasa zaidi.Naunga mkono wazo lako
Hamna jeshi dunian ambalo hali serve interest za serikal yake, although modernization iko kwenye motion lakin bado safar ni ndefuYan ata linavyo jiendesha tu limekaa a kama kusave purpose ya Serikali za kikoloni.
Watajijua wenyeweWafanyeje ili wawe kisasa zaidi.
Umenena vyema ila mimi nimesema kuserve interest za serikali ya kikoloni#Hamna jeshi dunian ambalo hali serve interest za serikal yake, although modernization iko kwenye motion lakin bado safar ni ndefu
Naam!Ili iweje, tu achieve nini?
Uko sahihi mkuuNikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components
Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Kwani Serikali zetu siyo Serikali za neo colonisim hizi?Umenena vyema ila mimi nimesema kuserve interest za serikali ya kikoloni#