Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

Unaandika ujinga huku ukijiona mjuaji. Sikia wewe. Mwambata ni mwakili wa kijeshi anayeliwakilisha jeshi kwenye nchi za nje. Hao unaosema wewe wanamuwakilisha nani huko ubalozini?
UNAUJUA MUUNDO WA UBALOZI NA UTUMISHI WA BALOZI?
NA UKISIKIA NENO MWAMBATA WA JESHI UBALOZN, MWAMBATA WA USALAMA UBALOZINI NA MWAMBATA WA UHAMIAJI UBALOZINI HUWA UNAELEWA NINI?
KAMA KITU HUKIJUI NI VIZURI UKANYAMAZA KULIKO KUSHUPAZA SHINGO,
 
Back
Top Bottom