Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ahahah sema karanga kashavuka kwenye pitshotUna story za kuokoteza sana, ungekuwa unaweka na rejea ya vifungu (reference) ya hizo sheria unazotaka kutuaminisha na kuachana na huu upotoshaji wa kwenye vijiwe vya kahawa au mkiwa na vipensi vya blue kwenye mahanga
Sawa,umeniongezea maarifa nilikuwa sijui kama hapo mirambo vipoHayo Mavifaru yapo hata Tabora kwenye Kambi kubwa ya jeshi ya MIRAMBO kwahiyo Hilo neno inawezekana litoe hapo.
SawaAchana na haya matango pori unayotulisha
Hapa sijakuelewa waratibu wa nini anapokuja Rais au waziriHapana wanaingia vikao vyote vya usalama wa mkoa na wilaya na kama waziri wau raisi anakuja mkoa husika wao ndio waratibu wakuu
HahahaAchana na haya matango pori unayotulisha
Kuhakikisha usalama unakuwepi wakishirikiana na viongozi wengineHapa sijakuelewa waratibu wa nini anapokuja Rais au waziri
Hapana sijakuongeza maarifa ila nimekujurisha tu kuwa hayo madude yapo pia na sehemu flani basi.Sawa,umeniongezea maarifa nilikuwa sijui kama hapo mirambo vipo
Ahaa brigadeMkuu jeshi letu Uongozi upo Kikanda na siyovki mikoa kama polisi, Jeshini hakuna mkuu wa jeshi la Arusha au Mbeya, ila kuna Kuna mkuu wa Kanda mfano Kuna mkuu wa Kanda ya Kusini yani Mikoa yote ya kusini inaongozwa na Brigedier.
Nikuulize swali kikao cha wakuu wa majeshi mbali mbali kinacho jumuisha majeshi yote na idara mwenyekiti anakuwa CDF CDF akiwa na hudhuru kikao kitaendeshwa na Ltn general na yeye akiwa na hudhuru kikao hakifanyiki kwanini IGP asisimamie kikao?Achana na haya matango pori unayotulisha
Vifaru sio madudeHapana sijakuongeza maarifa ila nimekujurisha tu kuwa hayo madude yapo pia na sehemu flani basi.
Hiko ni kikao gani? Cha balaza la usalama wa taifaNikuulize swali kikao cha wakuu wa majeshi mbali mbali kinacho jumuisha majeshi yote na idara mwenyekiti anakuwa CDF CDF akiwa na hudhuru kikao kitaendeshwa na Ltn general na yeye akiwa na hudhuru kikao hakifanyiki kwanini IGP asisimamie kikao?
Ndio chief of staf mwrnyekit ni CDF akikosekana anaendesha msaidizi wake ambaye mi LTN GENERALHiko ni kikao gani? Cha balaza la usalama wa taifa
Hicho kikao uliwahi kukiona wapi na kinakuwa ajenda gani? Ulishawahi kusikia nchi hii ina kikao cha aina hiyo.Nikuulize swali kikao cha wakuu wa majeshi mbali mbali kinacho jumuisha majeshi yote na idara mwenyekiti anakuwa CDF CDF akiwa na hudhuru kikao kitaendeshwa na Ltn general na yeye akiwa na hudhuru kikao hakifanyiki kwanini IGP asisimamie kikao?
Katiba yetu ya 1977 inatambua uwepo wa majeshi manneKaka unajua maana ya paramilitary organization? , kwa sheria za nchi yetu , hazitambui polisi, magereza, polisi, na hawa wa juzi uhifadhi kama full force military components. Kenya GSU ni unit similar to FFU wakwetu, zote ni police field units, under mwavuli wa polisi.
Jeshi pekee linalotambulika kama full military ni jeshi la wananchi tu, Wengine ni paramilitary, yes sababu ya aina ya miongozo na mafunzo.
Sawa kwahy hakuna meeting au kamati ya usalama kwa ngazi ya taifa?Hicho kikao uliwahi kukiona wapi na kinakuwa ajenda gani? Ulishawahi kusikia nchi hii ina kikao cha aina hiyo.
Yaani unazidi kujivua nguo kwa kujitutumua kutuaminisha vitu ambavyo havipo
Hiyo kamati inaundwa na nani? Na wajumbe wa hiyo kamati ni wakina nani?Sawa kwahy hakuna meeting au kamati ya usalama kwa ngazi ya taifa?
Wakianza kututwanga Kuna kuwa na few military Targets kiasi ChaInawezekana,kama ndege zilivyo kizuka tu,vifaru kuna kambi moja hivi iko kama unaelekea kibaha maili moja unachepuka kutoka highway,niliwahi kufika huko na rafiki yangu poti,kwenye hiyo kambi ukiingia kuna mkifaru mmoja wa zamani wa rangi ya kijani unqupita unapoingia kambini ,ila vifaru vyenyewe vya kazi jamaa akawa ananionyesha kwa mbali makazi ya hivyo vifaru viko kwenye yard fulani tuliyokuwa tunaiona kwa mbali
Na Tiss watakuwa wanafanya kazi gani?Hapana wanaingia vikao vyote vya usalama wa mkoa na wilaya na kama waziri wau raisi anakuja mkoa husika wao ndio waratibu wakuu
Kila mtu anakuwa na jukumu lake ila huwa vinafanyika kwa ushirikianoWakianza kututwanga Kuna kuwa na few military Targets kiasi Cha
Na Tiss watakuwa wanafanya kazi gani?
Polisi kitengo Cha Intel wanakuwa kwenye usingizi.
ngoja tujikite kwenye mada kwahy unapinga kuwa kila mkoa hakuna jeshi?Hiyo kamati inaundwa na nani? Na wajumbe wa hiyo kamati ni wakina nani?