Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

Exactly true..
 
Nchi gani ina uongozi wa jeshi katika ngazi ya wilaya au mkoa?
 
Magereza na polisi sio paramilitary. Tafuta maana ya paramilitary hata google tu.
Yup sio paramilitary ni majeshi kamili yenye dhamana katika respective areas.Polisi usalama wa raia na magereza ulinzi wa wahalifu.Jamaa ameingia chaka sana kusema haya majeshi ni paramilitaries
 
MBT kabisa?? Sema field artillery bana.
Self-propelled Guns[SPG] na Large-Calliber guns zinaingia kwenye hilo kundi la Field Artillery. Sasa swali la kujiuliza ma Self-propelled guns au ma self-propelled artillery kibongobongo mkuu tunayaitaje kama si Mavifaru?.
 
Umewaza kama mimi nilivyowahi kuwaza
 
Self-propelled Guns[SPG] na Large-Calliber guns zinaingia kwenye hilo kundi la Field Artillery. Sasa swali la kujiuliza ma Self-propelled guns au ma self-propelled artillery kibongobongo mkuu tunayaitaje kama si Mavifaru?.
Twende Bakita mzee tukaombe msaada
 
Huko Wilayani JWTZ wanafuata nini? JWTZ ni walinzi wa mipaka, siyo walizi wa vibaka wa kuiba kuku. Kwa muundo wao wana hadi Mkuu wa Kikozi na Mkuu wa Kamnbi ya Jeshi.
 
Wewe ndio umejibu swali na umemaliza Kila kitu
 
Hata lingeundwaa jee,JWTz ni Jeshi ninaloliamini miamia,hawo wengine waoneaji/matapeli tu.Viva JWTz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…