Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,490
- 3,482
Wakuu habari zenu?
Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Awali ya yote, ni muhimu kufahamu kuwa mimi ni Mkristo, lakini si wa dhehebu la Roman Catholic. Najua kuwa wengi wanadhani Ukristo ni dhehebu moja, lakini ukweli ni kwamba ndani yake kuna madhehebu mbalimbali, kila moja likiwa na misingi na misimamo yake katika kumtumikia Kristo.
Lengo langu si kuhukumu wala kushutumu, Bali ni kutaka kujifunza, Sipo hapa kukashfu, kufedhehesha au kutukana, hapana nipo hapa kupata majibu kwanini hili kanisa ndiyo “KICHAKA” cha waovu au watenda dhambi kujificha huko?
Leo nilikua nasoma Biblia katka kitabu cha Wagalitia 5:19 ndiyo nikagundua hawa wenzetu wanalea dhambi hawakemei dhambi ipasavyo. RC ndiyo utakuta wazinzi, wachawi, majambazi na kila aina ya waovu wapo huko wanaishi kwa amani kabsa bila kubugudhiwa au kukemewa uovu wao. Hii ni tofouti ilivyo makanisa mengine kama SDA, EAGT etc ambapo wakigundua unafanya uovu mapema unaonywa ukishupaza shingo unafukuzwa.
Sasa hawa wenzetu, ni Yesu Kristo yupi wanayemwamini ambaye anaonekana kulea dhambi badala ya kuikemea?