Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,490
- 3,482
Wakuu habari zenu?
Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Awali ya yote, ni muhimu kufahamu kuwa mimi ni Mkristo, lakini si wa dhehebu la Roman Catholic. Najua kuwa wengi wanadhani Ukristo ni dhehebu moja, lakini ukweli ni kwamba ndani yake kuna madhehebu mbalimbali, kila moja likiwa na misingi na misimamo yake katika kumtumikia Kristo.
Lengo langu si kuhukumu wala kushutumu, Bali ni kutaka kujifunza, Sipo hapa kukashfu, kufedhehesha au kutukana, hapana nipo hapa kupata majibu kwanini hili kanisa ndiyo “KICHAKA” cha waovu au watenda dhambi kujificha huko?
Leo nilikua nasoma Biblia katka kitabu cha Wagalitia 5:19 ndiyo nikagundua hawa wenzetu wanalea dhambi hawakemei dhambi ipasavyo. RC ndiyo utakuta wazinzi, wachawi, majambazi na kila aina ya waovu wapo huko wanaishi kwa amani kabsa bila kubugudhiwa au kukemewa uovu wao. Hii ni tofouti ilivyo makanisa mengine kama SDA, EAGT etc ambapo wakigundua unafanya uovu mapema unaonywa ukishupaza shingo unafukuzwa.
Sasa hawa wenzetu, ni Yesu Kristo yupi wanayemwamini ambaye anaonekana kulea dhambi badala ya kuikemea?
Kwa hiyo hao watenda uovu wa SDA, EAGT, etc wanapofukuzwa na uovu nao huwa unaisha kwenye hayo makanisa?Wakuu habari zenu?
Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Awali ya yote, ni muhimu kufahamu kuwa mimi ni Mkristo, lakini si wa dhehebu la Roman Catholic. Najua kuwa wengi wanadhani Ukristo ni dhehebu moja, lakini ukweli ni kwamba ndani yake kuna madhehebu mbalimbali, kila moja likiwa na misingi na misimamo yake katika kumtumikia Kristo.
Lengo langu si kuhukumu wala kushutumu, Bali ni kutaka kujifunza, Sipo hapa kukashfu, kufedhehesha au kutukana, hapana nipo hapa kupata majibu kwanini hili kanisa ndiyo “KICHAKA” cha waovu au watenda dhambi kujificha huko?
Leo nilikua nasoma Biblia katka kitabu cha Wagalitia 5:19 ndiyo nikagundua hawa wenzetu wanalea dhambi hawakemei dhambi ipasavyo. RC ndiyo utakuta wazinzi, wachawi, majambazi na kila aina ya waovu wapo huko wanaishi kwa amani kabsa bila kubugudhiwa au kukemewa uovu wao. Hii ni tofouti ilivyo makanisa mengine kama SDA, EAGT etc ambapo wakigundua unafanya uovu mapema unaonywa ukishupaza shingo unafukuzwa.
Sasa hawa wenzetu, ni Yesu Kristo yupi wanayemwamini ambaye anaonekana kulea dhambi badala ya kuikemea?
Au siyo?Muovu gani aliyejificha huko?
Subili sabato iingie ushindwe kumzagamua hata mkeo
Rudia kusoma thread yangu.Mwenye biblia atusomee ule mstari unaosema
“Mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?”
Uovu hauishi upo mpaka siku za mwisho. Unapo muonya mtu haelewi ni Bora kumfukuza kuliko kuendelea Kuwa naye itadhihirisha unuunga uovu wake na umeubariki.Kwa hiyo hao watenda uovu wa SDA, EAGT, etc wanapofukuzwa na uovu nao huwa unaisha kwenye hayo makanisa?
Sijui ni kwa nini huwa mnapenda sana kulisakama Kanisa Katoliki, huku nyinyi wenyewe mkiishi maisha ya kinafiki na ya uchafu uliopitiliza.
Ipo DunianiEndelea kukaa
Nyikani ipo dunianinyikani hukuduniani hupawezi
Hawajagundulika.Mbona kuna washkaji wapo SDA wanapiga mbupu kinoma noma wanajulikana na hawafanywi chochote