GE2025 Hivi kwanini kazi ya ubunge isiwe na kipindi cha kujitolea kama kazi zingine?

GE2025 Hivi kwanini kazi ya ubunge isiwe na kipindi cha kujitolea kama kazi zingine?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mocyid

New Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
3
Reaction score
0
Hivi kwanini kazi ya ubunge isiwe na kipindi cha kujitolea kama kazi zingine?

Mtu akishachaguliwa ajitolee mwaka Mmoja au miwili baada ya hapo akiwa ameonesha uwakilishi mzuri apewe ajira Kwa miaka iliyobaki.
 
Back
Top Bottom