Hivi kwanini kila kijana alieshindwa uchaguzi CHADEMA kabla ya uchaguzi wa uenyekiti Taifa alidai uchaguzi haukua huru na haki?

Hivi kwanini kila kijana alieshindwa uchaguzi CHADEMA kabla ya uchaguzi wa uenyekiti Taifa alidai uchaguzi haukua huru na haki?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Au tatizo ni uelewa na ufahamu mdogo juu ya masuala ya kidemokrasia katika chaguzi?

Hata mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa alibwekabweka sana kwa hofu ya kushindwa uchaguzi kitu ambacho ndio Demokrasia.

Kwanini dhana hii potofu ya kwamba wao wakishinda uchaguzi ndio uchaguzi ulikua huru, wa wazi na wa haki na sio wakishindwa?

Kushinda au kushindwa uchaguzi ndio Demokrasia yenyewe.

Unadhani ni lini wanachadema hasa vijana wanao gombea uongozi wa chadema ngazi mballimbali wataachana na dhana na fikra hii potofu ya kulalamikia demokrasia ndani ya chama chao wenyewe?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom