kuna nyumbu wa lumumba na ufipa waliokosa mkopo chuo wengine wamedisco udom stress tupuUshawahi kusuntwa wewe,yaan unasuntwa mpaka unasahau njia ya kutokea JF. Halafu unaweza dhani unasuntwa na watu wengi kumbe ni mmoja ila ana multiple ID
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ushawahi kusuntwa wewe,yaan unasuntwa mpaka unasahau njia ya kutokea JF. Halafu unaweza dhani unasuntwa na watu wengi kumbe ni mmoja ila ana multiple ID
Mwenyewe na kuqoute ila comrade sitaki matusiHatufanani tabia mkuu tahadhali muhimu
Ila sio wote mfano mzuri wewe apo hujaweka hiyo tahadhali
Hujambo?Anae andika hivo anajijua kaandika upupu kama sio takataka,kujihami lazima
Sijambo mambo mambo??Hujambo?
Mi si wa upande huo wenyewe watakuja na atapata alchokusudiaMwenyewe na kuqoute ila comrade sitaki matusi
Mambo Magu habari ya mujini Mambo yako vizuri kabisaSijambo mambo mambo??
Yeah..Ndio natoka hospital hapa. Mpaka kesho tena.Mambo Magu habari ya mujini Mambo yako vizuri kabisa
Niliona like ya rafiki kipenzi mwambie nimefurahi sana
Mbona husemi kama anaendelea kupona?Yeah..Ndio natoka hospital hapa. Mpaka kesho tena.
Lack of self confidencewanabodi
nimekuwa nashangazwa sn km sio kustaajabu!au inaonyesha humu wengi wetu ni betri low
mtu anaweka thread yake nzuri lakini mwisho anasema sitaki matusi!
Au kama ukiona limekukera mezea na maji!
yaani mtu hata akiweka bandiko la maana litalogusa kila upande katika jamii inayotunguzuka mwisho lazma aweke maneno ya taarabu!ooohh wale watoa povu wanakuja sasahivi.....
Kunani humu jamani Jf
ni kina nani haswaa huwa wanapewa tahadhari wasianze kutoa mapovu au kejeli..leo tuwajue
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli tunategemea mwezi wa 8 atatoka hospital. Halafu mie nikienda Ndio anapata simu ya kuingia jf,Maana ameshauriwa asitumie simu. Kwahiyo nikienda Mimi anapata Hata dakika kumi za kuingia jf na kucheka Cheka.Mbona husemi kama anaendelea kupona?
Uwe unamonyesha thread za kuchekesha aondoe mawazo ya hapo alipo inaweza ungeza kasi ya uponaji