Hivi kwanini kila mtu akiweka bandiko humu Jf mwisho anajihami asitukanwe!

Hivi kwanini kila mtu akiweka bandiko humu Jf mwisho anajihami asitukanwe!

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
wanabodi
nimekuwa nashangazwa sn km sio kustaajabu!au inaonyesha humu wengi wetu ni betri low
mtu anaweka thread yake nzuri lakini mwisho anasema sitaki matusi!
Au kama ukiona limekukera mezea na maji!
yaani mtu hata akiweka bandiko la maana litalogusa kila upande katika jamii inayotunguzuka mwisho lazma aweke maneno ya taarabu!ooohh wale watoa povu wanakuja sasahivi.....
Kunani humu jamani Jf
ni kina nani haswaa huwa wanapewa tahadhari wasianze kutoa mapovu au kejeli..leo tuwajue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anae andika hivo anajijua kaandika upupu kama sio takataka,kujihami lazima
 
Anajihami kwani kuna wanaodakia pasipo kuelewa na kutusi. Mwingine anatoa uamuzi wa haraka eti IQ ni ndogo. Amejuaje IQ ni ndogo pasipo vipimo? Huenda hajui hata maana yake. Tuwe waungwana katika kukosoana. Mini ninajua sijui kitu ninaandika ili nieleweshwe, usinitusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanabodi
nimekuwa nashangazwa sn km sio kustaajabu!au inaonyesha humu wengi wetu ni betri low
mtu anaweka thread yake nzuri lakini mwisho anasema sitaki matusi!
Au kama ukiona limekukera mezea na maji!
yaani mtu hata akiweka bandiko la maana litalogusa kila upande katika jamii inayotunguzuka mwisho lazma aweke maneno ya taarabu!ooohh wale watoa povu wanakuja sasahivi.....
Kunani humu jamani Jf
ni kina nani haswaa huwa wanapewa tahadhari wasianze kutoa mapovu au kejeli..leo tuwajue

Sent using Jamii Forums mobile app
Lack of self confidence

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini si kila mtu kwa muktadha wa heading yako
 
Mbona husemi kama anaendelea kupona?
Uwe unamonyesha thread za kuchekesha aondoe mawazo ya hapo alipo inaweza ungeza kasi ya uponaji
Kwakweli tunategemea mwezi wa 8 atatoka hospital. Halafu mie nikienda Ndio anapata simu ya kuingia jf,Maana ameshauriwa asitumie simu. Kwahiyo nikienda Mimi anapata Hata dakika kumi za kuingia jf na kucheka Cheka.
Hivo anawatupia like
 
Back
Top Bottom