Hivi kwanini kila mtu anamchukia huyu mdada!?

Hivi kwanini kila mtu anamchukia huyu mdada!?

Bakalalwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
748
Reaction score
1,217
20241229_105230.jpg

Au ni sababu ya ujuaji wake harafu kaja kufa Nyumbani kwa Mweshimiwa kizembe vile au season 2 anaweza kurudi waseme hakufa,

Wadau wa series jina na cover ni hilo hapo 👇 series nzuri sana
MV5BYmI3NDY1MGYtNTJmNy00NjA3LTk1OWUtM2IyN2M3MjFiMTZkXkEyXkFqcGc@._V1_.jpg
 
Daah kumbi movie?

Eee Baba muumba mbingu na Nchi na vyote vilivyo nimekuja kwako muda huu kukuomba msamaha kwani nimepoteza muda kusoma huu Uzi usio na faida Wala hasara kwenye maisha yangu.

Nisamehe kwani nimekosa nimekosa Nimekosa Mimi Nimekosana🙏
 
Kama kweli bianca ndio amekufa!!!bas ameuliwa kizembe sana 😀😀
 
Mkuu me ndio naipakuwa hapa muda huu.
Unapakua movie MBs kadhaa. Hapo utaona picha ya maana kweli mkuu. Binafsi movie iwe 2160p(4K) ndio naona mzuka. Hadi drop ya mvua naiona kwenye screen kuanzia 65". Nikikosa kabisa nachukua 1080p ndio mwisho. Movie ni kuanzia GB 2 kwenda mbele.

Nina collection ya 4K ya zile movies zangu pendwa za wakati wote. Karibu nikupe mkuu. Achana na hizo ya MBs kadhaa hata picha haionekani.
 
Back
Top Bottom