Babu kwani hayo marangi ndo yanacheza na kuleta maendeleo ya soka nchini? Chezeni mpira,wekezeni kwelikweli hizi nyingine ni porojo tuYanga wana mambo ya kizamani sana simba kusema kweli tunajitahidi hata kuna baadhi ya jezi ya kipa wetu ilikuwa ina unjano lakini ikawa kawaida
Itachukua muda kwa yanga kubadilika kuwa na akili maana hata rangi tu
Tumia akili kufikiri, kisha jenga hoja zenye mantiki, hapajasemwa jezi za Yanga zikae doa jekundu, suala ni logo za timu pinzani zinavyoboreshwa na picha tumeweka hapoSisi wenye Yanga yetu hatuwezi kuweka doa jekundu kwenye jezi yetu, ni bora tubaki bila wazamini Full stop!
Wanaujinga Mwingi Sana Wana akili za Kijima
unaonekana umejiunga jf mda mrefu ila akili zako hazina akiliNaamini Yanga ina viongozi weledi tena wasomi kwa hili walirekebishe mapema maana kama hawataki rangi nyekundu basi wasiwe wanatumia kabisa noti ya elfu kumi (10,000) ambayo ina rangi myekundu inayotumiwa na timu ya Simba.
Kuna watu wanalichukulia suala la logo kama kitu kidogo. Kiukweli logo ni utambulisho wa tasisi fulani na kila taasisi inakuwa imechagua rangi kwa sababu maalum. Kwa hiyo unapobadilisha rangi (corporate colour) kwenye logo ya taasisi husika bila ridhaa yao unakuwa haujaitendea haki hiyo taasisi.
Hebu tuweke ushabiki pembeni kwenye mambo ya msingi, hivi kweli siku ambayo Simba watacheza na Yanga uwanja wa taifa na Simba akawa mwenyeji halafu kwenye matangazo akaweka Simba VS Yanga halafu logo ya Yanga ikawa ipo kwenye rangi nyekundu je Yanga watakubali? Je nchi itakalika? Vipi Yanga wakienda Mbeya kucheza na Mbeya City halafu kwenye matangazo Mbeya City wakaiweka logo ya Yanga kwa rangi nyekundu je Yanga watakaa kimya au watakimbilia TFF? Usichopenda kutendewa usimtendee mwingine maana siku akikutendea utaona unaonewa.
Viongozi wa Yanga hili lipo chini ya uwezo wenu limalizeni mara moja maisha yaendelee kwani watu wanawatazama nyinyi na wala hawatizamwa hawa mashabiki wanaoliunga mkono hapa jamvini.
Vile hauelewi mambo ya logo anayosemea mleta mada, hivi ulishawahi kuona chelsea amecheza na Man u😢😢 halafu logo ya man u , ikachalazwa blue tuuBabu kwani hayo marangi ndo yanacheza na kuleta maendeleo ya soka nchini? Chezeni mpira,wekezeni kwelikweli hizi nyingine ni porojo tu
Naungana na ww , uungwana kukubali changamoto chanja kama hizi.Dah hili la logo uongozi wa Yanga imetuabisha kwakweli sijaona matinki ya kushindwa kuwawekea logo halisi ya timu pinzani inayoenda kupambano nazo.
Ni moja ya mambo ya kiswahili sana uongozi unafanya kwenye hili. Inabidi huyo mtaalam wa uendeshaji wa timu kisasa aliyeletwa aanze na kuwabadilisha viongozi kwanza kutoka kwenye fikra za kijinga na kipumbavu kama hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vile hauelewi mambo ya logo anayosemea mleta mada, hivi ulishawahi kuona chelsea amecheza na Man u[emoji22][emoji22] halafu logo ya man u , ikachalazwa blue tuu
Elimu, Elimu, ElimuKuna Yanga wenye kufikiri na kuchanganua mambo wenye kujua nini maana ya brand, wameeleza wazi kuwa jambo hili si sahihi
Lakini shida ipo kwa hawa bora liende
Yanga inafuata katiba yake iliyokuwepo toka enzi za mkoloni? unajua kwa nini yanga ilipiga marufuku g rangi nyekundu? sababu ni kwamba enzi za mkoloni wakati yanga inashiriki kwenye harakati za kupigania uhuru, klabu ya simba ikiitwa sunderland walikuwa mstar wa mbele kushirikiana na mkoloni kuwapinga waafrika waliokuwa wanapigania uhuru, simba walikuwa wasaliti na ndio sabab ya rangi nyekundu kupigwa marufuku.
Kwani ilivyowekwa hivyo matokeo yalibadilika?
Yaani mbumbumbu mnakuwa na uchungu na logo kuliko GSM au Vodacom ambao wamekubaliaana na timu ya wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeumia sana Basi nenda mahakamani kaishtakiMimi ni shabiki wa MBEYA City (timu ya nyumbani) na ndio maana nikaweka kiambatanisho hapo juu. Nembo ya timu yetu ninayoijua haina rangi hiyo pichani. Na Nadhani huu ndio msingi wa hoja iliyopo mezani. Je, hili (kuweka nembo timu katika rangi isiyostahiki) lina uhusiano gani na GSM au Vodacom mkuu kama ulivyotuhumu hapo juu ?
Umeelewa kinachoongelewa?Babu kwani hayo marangi ndo yanacheza na kuleta maendeleo ya soka nchini? Chezeni mpira,wekezeni kwelikweli hizi nyingine ni porojo tu
Unaishi kwa kukariri.Yanga hakuna mahali wamebadili logo ya timu ya watu.Jielishe kwanza usitie uzoefu kwenye mambo ya weledi.Upo hapo wewe huna akili kuzidi wenye timu ngoja tarehe 8/3 /tuweke logobya simba ya njano ndo ufe uzimie kabisa.rangi haina effect yoyote kwa logo wala kmpuni ndio maana Vodacom logo yao ni nyekundu lakin kwa Yanga wanatumia nyeusi.Sasa wewe endelea kushikia bango jambo ambalo liko juu ya akili yako.Acha ujinga wa kuharibu uzi kwa kujaza usichokijua, timu kama timu ina uwezo wa kubadili logo wanavyotaka.
Narudia tena Man Utd hawawezi kuiboresha Logo ya Man City, kama ipo Official lete hapo.View attachment 1357636
Kati ya simba na Yanga nani anacheza kwa presha?mbumbumbu bwana[emoji2][emoji2]Tunastahili maneno ya shombo zaidi ya haya, litimu gani wakicheza presha juu , hata uweredi katika uongozaji wao hovyo kabisa
Mi mwenyewe nipo Yanga ila ilo la kubadili logo za watu ckubaliani nalo.
Sent using Jamii Forums mobile app