Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ukweli wowote kwenye hili ?Wadau ebu leo tujadili ili kwanini kusafirisha maiti ni gharama kubwa mno kuliko kusafiri mtu ukiwa mzima na ikiwa maiti inakuja Tu kama cargo na mtu unakaa ata vip lakini uwezi kuwa na gharama Za maiti yaani nabaki najiuliza sipati jibu