Hivi kwanini kwa sisi wanaume wengi, ni rahisi kumpata mdada usiemtaka, ila kumpata mdada unaemtaka inakuwa ni ngumu?

Jibu ni rahisi tu, madamu demu demu kazi yake kukubali au kukataa basi siku zote itakuwa ngumu kwa Mwanaume. Ni easy kwa demu kupata Mwanaume anayemtaka akiamua kuliko kwa Mwanaume kupata demu, ..
Ofcourse mwanamke ni kama Prey (kitoweo) so daima lazma awe always available kwa wawindaji (wanaume). Mara nyingi huwa wanakimbiliwa prey walionona ila pia wakiwa adimu wataliwa hata waliochoka choka.

It works like this...Mwanamke ni available muda wote kwa madume yanayotongoza...anachokifanya ni kuamua saa ngapi aliwe tu ila walaji wapo 24/7. Ukiona mwanamke yuko single ujue yuko selective sana...wale beki hazikabi ndio anaachwa asubuhi jioni ana mtu mpya.

Tofauti na mwanamume anayetafuta mwanamke lazma atumie nguvu ya siasa sana ikibidi pesa itumike zaidi maana soko ni gumuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!! Hadi umpate mtu wa kumlala ni lazima akuelewe na sio ishu ya siku 1 ila mwanamke yeye anytime akitaka anapewa huduma...hana lead time!
 
Sawaaa nimeelewa point yako bhasi hapo bila bila mkuu...manake hata sisi muda mwingine tunakubali tu, sababu kiafrica mtoto wakike kutongoza haileti picha nzuri!
 
Kama kupata mwanamke ingekuwa ni rahisi malaya wasingekuwa na soko amini nakwambia. Nani akatoe hela wakati wanawake wazuri wa bure wanapatikana kirahisi.

Ishu ni kuwa ni gharama kupata mwanamke unayemtaka na ni gharama sana kummiliki pia thats why njia rahisi inakuwa kuchagua tu waliopo sokoni unachagua pisi kweli kweli unalipia unaenda kuikamua bila kero za mizinga...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mim siku hiz demu Kama hajaanza kuonyesha dalili za kunitaka huwa simtongoz Mana najua nitatumia hela nyingi nikianza kumtongoza.
Mkuu wewe kanuni unaijua.
Kamwe usimtongoze mwanamke ambaye hajaonesha kuwa interested kwako!

Mwanamke unayekutana naye na akakupa green lights za kutosha huyo ndiye wa kumtongoza. Kwanza atakufanyia wepesi, hatokuchuna kama wa upande mwingine na kama ni game utapata bila jitihada.
 
I'M BACK.

Zamani kabisa kwenye mapenzi mwanamke alikuwa hana maamuzi ukikutana nae unamwambia lala hapo analala unamaliza unasepa. Zikaja zama za mwanamke kuwa na maamuzi akukubali au akukatae zimepita,tupo zama za mwanake akupende mwenyewe na akuchague. Wale wote wanaotongoza mwanamke akakubali jua kabisa mwanake alikuwa ameshampenda kabla aidha jamaa alijua au hakujua kama dem anahitaji approach yake.

Wanaume wengi akili ziko busy na maisha na wanawake wengi akili ziko busy na kutafuta partner wakuishi nae. Tunatofautiana namna ya kuangalia,wanaume tunaangalia mwili na wanawake wanaangalia roho kwahiyo mwanaume atatumia kuongea na mwanamke atatumia ishara ili kuinasa roho. 99% ya wanaume hupishana na ishara hizo walizotumiwa kwa namna tu ya kimaumbile na mwanamke huchukulia hajapendwa na mwanaume huyo na kuhamishia majeshi kwa mwanaume mwingine ila mwanaume huyohuyo akipata wa kumfumbulia ishara zile atajitupa kitandani kwake na kujilaumu sana ndo ishatoka hiyo.

Unakutana na demu njiani mara demu anapunguza mwendo anatoa simu anajifanya yuko busy na simu hata hushtuki kumsalimia na kumbembeleza mpeane mawasiliano. Au mmekaa bar na dem unaaga kuondoka anakuuliza wapi tena,au anakuuliza ndio unaenda? badala umualike sehemu unayoenda wewe unauga kwaherini tutaonana Mungu akipenda! Au dem anakuaga oyaa mi naenda,badala umuombe mawasiliano unaishia kuitikia tu poaπŸ˜„πŸ˜„ unashida yu kumuuliza kitu dem anakusogelea hadi karibu kabisa na wewe unaona ni hali ya kawaida tu hata hujishtukii😬😬.

Somo kubwa ni hilo cha kuongezea tu KILA MWANAKE UNAYEMUONA TUSI KUBWA KWAKE NI KUONEKANA MALAYA. Hata wale madada poa ukiwaendea kwa kuwachukulia ni malaya huduma bora sahau na ukiwaendea kwa shida kwamba wewe ni mwanaume na wao wanawake utapenda. Hivyo basi usikosee kanuni hii na usiende kumtongoza mwanake kwa nguvu zote yaani unamsogelea ghafla na kumzoea ghafla atakutolea nje atahisi kama anavamiwa. Nimengi ila kwa leo.

MAGUFULI4LIFE.
 
Daah kuna pisi Fulani siikubali wala nini nikaamua niitokee nichukulie mazoezi nipunguzie uzito hata ikikataa nikasema haitauma


Daadeki ikakubali nimetafuna naona inazidi kuwa mbaya na kuniganda


Hivi vitu vpo mtoa mada
 
wew ni miongon mwa viumbe ambao tushausoma mchezo wa Hawa viumbe,demu akikuonyesha dalili za kukutaka ni Raha Sana hata ukiwa nae.
 
wew ni miongon mwa viumbe ambao tushausoma mchezo wa Hawa viumbe,demu akikuonyesha dalili za kukutaka ni Raha Sana hata ukiwa nae.
Hii ni kanuni inayotawala wanyama wote (akiwemo binadamu) kwenye kujamiana.

Siku zote ni mwanamke (au jike) ndiye anayechagua mate wa kujamiana na kazi ya mwanaume (dume) ni ku approach.

Wanaume wengi wanakosea sana kwa kufukuzia demu wiki, miezi hadi miaka. Kinachotakiwa ni kujicontrol, tawala hisia zako pamoja na nyege then observe ni yupi yupo interested kwako then approach...dk kumi nyingi unaokota mzigo.

Mwanamke anayeonesha hisia kwako hata mgegedo unakuwa mtamu coz kila kitu kinakuwa receptive kwako, mchuzi una flow kama chemchemi.

Kudos Mkuu.
 
A man can ruin every woman that come across him but he knows where the wife is
unaweza mpenda mwanamke unaemwona kwamba anakufaa maishani tofaut inakuja pale wanawake walio wengi huangalia msingi na kusahau lengo la kutaka kuwa nae ni kuimarisha msingi huo zaidi kwa manufaa ya wote na familia kwa ujumla
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ au sio,ndo Mana mim demu hata awe mbovu akijileta kwangu Nampa dozi Mana najua kumpeleka mliman ni fasta Sana.
 
Aaah wapi kwa nyie wanaume ndo rahisi zaidi kumpata humpendae, kuliko sisi wanawake, manake sisi tunachaguliwa na nyie mnachagua....ukipojihamini ni uzembe wako tuu

Kwa Kiswahili hiki, wewe ni Mmeru bila shaka
 
Kwasababu
Kwa sababu ya uoga wa kutongoza. Mwanamke akikutaka, hata kama hujampenda utamkubali tu, ili umalize haja zako, lakn kwa wanawake hicho si kipaumbele kama pesa na muonekano.
 
Swali lako linadhihirisha kwamba unampenda umpendae, badala ya kumpenda akupendae.

"Mpende akupendae, asiyekupenda achana naye".

Waswahili walikuwa na maana sana.

Ila wanaume huwa tunakiuka hii kanuni na badala yake tunawapenda tuwapendao huku tukiacha kuwapenda watupendao.
 
Tatizo lako ni kuloose confidence.... Unapo mchukulia mwanamke kawaida inakuwa kawaida kweli, haikupi shida kuzungumza nae chochote bila kujali atakavyo jisikia. Ila ukishakuwa na hisia za upendo Kwamtu, hata maneno ya kusema unajitahidi kuyapangilia ili usiongee pumba, unafeli kwenye approach mkuu, watu wa ainayako mahusiano yao huanzia kwenye urafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…