Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
ila rafiki mimi nikimuona/nikimpenda mwenye chura huwa natetemeka sanaAaah wapi kwa nyie wanaume ndo rahisi zaidi kumpata humpendae, kuliko sisi wanawake, manake sisi tunachaguliwa na nyie mnachagua....ukipojihamini ni uzembe wako tuu
πππ. So funny aiseeeeh. Dunia saiv in love situation hata ww unauwezo wa kumchagua unaempenda bwana. In fact mwanamke akipenda huwa anapenda kweli sometimes we men tunapitia wakati mgumu qa kumpata a real woman that knows real definition of love! Mwenye ataeza vumilia pale wakati huna na wakati umepata hat kidog bac anaridhika couz tyr upo moyon mwake. We men but my side namwamini saan a girl akinipenda mwenyewe couz am sure atakua amenikubali the way nilivyo and i will real never give up to show her how special she is. Wengine they know how to love but they cant exoress their feelings couz wanaogopa painAaah wapi kwa nyie wanaume ndo rahisi zaidi kumpata humpendae, kuliko sisi wanawake, manake sisi tunachaguliwa na nyie mnachagua....ukipojihamini ni uzembe wako tuu
Wasipokuelewa basi tena.,I'M BACK.
Zamani kabisa kwenye mapenzi mwanamke alikuwa hana maamuzi ukikutana nae unamwambia lala hapo analala unamaliza unasepa. Zikaja zama za mwanamke kuwa na maamuzi akukubali au akukatae zimepita,tupo zama za mwanake akupende mwenyewe na akuchague. Wale wote wanaotongoza mwanamke akakubali jua kabisa mwanake alikuwa ameshampenda kabla aidha jamaa alijua au hakujua kama dem anahitaji approach yake.
Wanaume wengi akili ziko busy na maisha na wanawake wengi akili ziko busy na kutafuta partner wakuishi nae. Tunatofautiana namna ya kuangalia,wanaume tunaangalia mwili na wanawake wanaangalia roho kwahiyo mwanaume atatumia kuongea na mwanamke atatumia ishara ili kuinasa roho. 99% ya wanaume hupishana na ishara hizo walizotumiwa kwa namna tu ya kimaumbile na mwanamke huchukulia hajapendwa na mwanaume huyo na kuhamishia majeshi kwa mwanaume mwingine ila mwanaume huyohuyo akipata wa kumfumbulia ishara zile atajitupa kitandani kwake na kujilaumu sana ndo ishatoka hiyo.
Unakutana na demu njiani mara demu anapunguza mwendo anatoa simu anajifanya yuko busy na simu hata hushtuki kumsalimia na kumbembeleza mpeane mawasiliano. Au mmekaa bar na dem unaaga kuondoka anakuuliza wapi tena,au anakuuliza ndio unaenda? badala umualike sehemu unayoenda wewe unauga kwaherini tutaonana Mungu akipenda! Au dem anakuaga oyaa mi naenda,badala umuombe mawasiliano unaishia kuitikia tu poaππ unashida yu kumuuliza kitu dem anakusogelea hadi karibu kabisa na wewe unaona ni hali ya kawaida tu hata hujishtukiiπ¬π¬.
Somo kubwa ni hilo cha kuongezea tu KILA MWANAKE UNAYEMUONA TUSI KUBWA KWAKE NI KUONEKANA MALAYA. Hata wale madada poa ukiwaendea kwa kuwachukulia ni malaya huduma bora sahau na ukiwaendea kwa shida kwamba wewe ni mwanaume na wao wanawake utapenda. Hivyo basi usikosee kanuni hii na usiende kumtongoza mwanake kwa nguvu zote yaani unamsogelea ghafla na kumzoea ghafla atakutolea nje atahisi kama anavamiwa. Nimengi ila kwa leo.
MAGUFULI4LIFE.
Pepo lako la ngono halitaki uwe na mahusiano na wanawake....ebu jaribu kudate wanaume (makaka poa) uone kwanza.Nimeshaobserve sana hili suala yaani kwa mfano mimi nisipomtamani mdada rohoni, huyo mdada lazima anishobokee, kosa ni kuwa nikiona mdada halafu moyoni nikaanza kumtamani sana na kumpenda na kumuwaza kila siku, bhasi huwa simpati.
Hii haijalishi muonekano wake, mdada anaeza akawa mzuri tu, ila aagh nkamwangalia na kusema hata nkimtongoza atanipotezea muda, halafu anaeza asikae akilini mwangu, na hata nikilala nisimwazie wala kumtamani, ila baada ya muda huyo mdada mzuri ataanza shobo na mimi, just because rohoni sikumtamani.
Ila nikimtamani mdada kimawazo, hata kabla ya kutongoza, huyo mdada anakua hana interest kabisa na mimi, she won't give a damn about me, na anakua hajui kama na-exist
Why does this happen?
Hiyo ni kwako tu aseNimeshaobserve sana hili suala yaani kwa mfano mimi nisipomtamani mdada rohoni, huyo mdada lazima anishobokee, kosa ni kuwa nikiona mdada halafu moyoni nikaanza kumtamani sana na kumpenda na kumuwaza kila siku, bhasi huwa simpati.
Hii haijalishi muonekano wake, mdada anaeza akawa mzuri tu, ila aagh nkamwangalia na kusema hata nkimtongoza atanipotezea muda, halafu anaeza asikae akilini mwangu, na hata nikilala nisimwazie wala kumtamani, ila baada ya muda huyo mdada mzuri ataanza shobo na mimi, just because rohoni sikumtamani.
Ila nikimtamani mdada kimawazo, hata kabla ya kutongoza, huyo mdada anakua hana interest kabisa na mimi, she won't give a damn about me, na anakua hajui kama na-exist
Why does this happen?
Mi sijawahi kuwa na tatizo na mademu wa aina yoyote sababu ukivibe na mimi hata kama muonekano hauna au shape sio kivile huwa sijali mimi personality kwanza, japo nikigundua pia unajua malovee utajiongezea credit ishu inayonifanya niwakache wengi wanaonipenda ni kugandana sana,
Hamna kinachofanya niepuke kuwatokea mademu ni pale napojua ataniganda, mimi masuala ya kugandana sitaki kabisa nikikupenda nipende afu kausha ukianza kunisumbua kila mara, au kunipost post bila sababu ya msingi ntakukacha fasta yaani.
Alaaa mambo ya the secret hayo na rhonda byrneLearn to attract what you want
Amini nakwambia watu mko tofauti sana. Wenzako pale anapotemwa mate na kupelekwa polisi ndo anakazana hapohapo hakomi anakuwa km jitumwa senge yuko tayari akuhonge gari yake akujengee nyumba. Wewe unakimbia kabisaa?Nimeshaobserve sana hili suala yaani kwa mfano mimi nisipomtamani mdada rohoni, huyo mdada lazima anishobokee, kosa ni kuwa nikiona mdada halafu moyoni nikaanza kumtamani sana na kumpenda na kumuwaza kila siku, bhasi huwa simpati.
Hii haijalishi muonekano wake, mdada anaeza akawa mzuri tu, ila aagh nkamwangalia na kusema hata nkimtongoza atanipotezea muda, halafu anaeza asikae akilini mwangu, na hata nikilala nisimwazie wala kumtamani, ila baada ya muda huyo mdada mzuri ataanza shobo na mimi, just because rohoni sikumtamani.
Ila nikimtamani mdada kimawazo, hata kabla ya kutongoza, huyo mdada anakua hana interest kabisa na mimi, she won't give a damn about me, na anakua hajui kama na-exist
Why does this happen?
Akili kubwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1784]Kama kupata mwanamke ingekuwa ni rahisi malaya wasingekuwa na soko amini nakwambia. Nani akatoe hela wakati wanawake wazuri wa bure wanapatikana kirahisi.
Ishu ni kuwa ni gharama kupata mwanamke unayemtaka na ni gharama sana kummiliki pia thats why njia rahisi inakuwa kuchagua tu waliopo sokoni unachagua pisi kweli kweli unalipia unaenda kuikamua bila kero za mizinga...[emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah wapi kwa nyie wanaume ndo rahisi zaidi kumpata humpendae, kuliko sisi wanawake, manake sisi tunachaguliwa na nyie mnachagua....ukipojihamini ni uzembe wako tuu
Kama kupata mwanamke ingekuwa ni rahisi malaya wasingekuwa na soko amini nakwambia. Nani akatoe hela wakati wanawake wazuri wa bure wanapatikana kirahisi.
Ishu ni kuwa ni gharama kupata mwanamke unayemtaka na ni gharama sana kummiliki pia thats why njia rahisi inakuwa kuchagua tu waliopo sokoni unachagua pisi kweli kweli unalipia unaenda kuikamua bila kero za mizinga...πππ
Me nahisi labda kuna code tunazikosea, wanawake wanadai, kupata Mdada so kazi sasa ukicheki ukianza kumfata hata yeye, inakua kazi tena
Ndo maneno yao sijui wanawazaga nini?Utasikia mbona wanawake wengi, hujaamua tu [emoji2][emoji2]