Hivi Kwanini Lowassa anautaka Urais?



...To Do This, Is It Really A Must That One Have To Be a President First????
?
 
Time will tell. Lakini nina uhakika 2015, Watanganyika HATUDANGANYIKI tena. Anayefikiri Watanganyika wa 2010 ndio watakuwa wale wale wa 2015, basi atakuwa amejidanganya sana.

...Wanna Bet?? :thinking:
 
Lowassa anautaka tu urais kwa sababu anataka kuwa rais.
Suala la kulisaidia taifa si kipaumbele cha Lowassa.
Lowassa anataka urais inatosha.................


...Nakuunga Mkono. Ni Kama yule Mwenzake M-tabasamu. Nguvu Zoote wanazielekeza katika Kupata Uraisi lakini sio Katika Nini Kinachofuata BAADA ya Kuupata!

 
Kwa kua ana vigezo vya kuiongoza nchi katika haki na kweli.Vile vile ni chaguo la Mungu kama alivyotabiriwa na Mtumishi wa mungu TB JUSHUA wa emmanuel Tv.

mbona tb hajampa uwezo wa kuwakilisha maoni ya kamati anayoongoza bungeni kila siku anasimama mwingine wala sijawahi muona akileta michango ya wananchi wake bungeni kama wengine yeye hana tofauti na rostam na dewji wote wale wale
au hawezi simama kwa muda ataanguka kama jk kwanza hata kugeuza shingo hawezi wee muangalie juzi nilimuona akijitahidi kucheza na wamama wa sacos lakini mmmhhh
 

...According To WHO??? Na Wewe Naona Unafanya Yale Yale Unayokataza Wenzako Kufanya Comrade...!!

:thinking:
 

Where does he get the money to bribe the electorate to a achieve his dream?

CCM is simply dirty! Even Membe is going to perpetuate Kiwete legacy which is dependency on foreign aid and allowing these western countries to plunder our resources
 
Time will tell. Lakini nina uhakika 2015, Watanganyika HATUDANGANYIKI tena. Anayefikiri Watanganyika wa 2010 ndio watakuwa wale wale wa 2015, basi atakuwa amejidanganya sana.
Q MAN: Uko sawa Watanganyika HATUDANGANYIKI tena lakini, kama "system" (mfumo) ya CCM ipo kila walitakalo CCM litafanikiwa tu tupende tusipende. Kwani Watanganyika tuna mikakati gani ya kukabiliana na kuhakikisha uonevu wa mfumo wa CCM unavunjwavunjwa? Hata ubabe unaotendeka kama vile kushambulia mikutano ya baadhi ya vyama vya upinzani na kuua si ishara tosha ijnsi mfumo CCM unavyowanyanyasa Watanganyika ilhali haki za msingi zikipuuzwa NA KUDANGANYIKA KILA UCHAO? Tufanyeje ili TUSIDANGANYIKE zaidi na tufike ukomo wa hii hali?
 

1: Mara zote unaposikia Lowasa amesaidia ujenzi wa mashule, visima , mabwawa ya mifugo na majengo mbalimbali si kwamba ametoa hela mfukoni mwake; ana utajiri gani wa kufanya yote hayo? Hata Bakhresa angekua amefilisika !! Lowasa ametambua kwamba nchi hii inaweza kuendelea kwa kutumia rasilimali za ndani, anachofanya yeye ni kufanya harambee na kuongeza nguvu pale wananchi wanapohitaji nguvu zake. Hii dhana kwamba anatapanya hela kununua urais ni potofu.

2: This is exactly why we need him now, angalia alivyovunja mkataba wa Citywater, angalia alivyokiuka mkataba wa utumiaji maji wa Ziwa Victoria uliosainiwa toka enzi za ukoloni, mkataba huu unakataza watumiaji wa ziwa Victoria kutotoa maji ziwani ili Misri ambayo ipo jangwani ipate maji ya uhakika majira yote ya mwaka. Ni mkataba uliosainiwa na wakoloni decades ago, kwa Wamisri kukiuka mkataba huu ni basicaly a declaration of war on them, lakini Lowassa si muoga kihivyo katika kutumikia wananchi wake.
Leo kuna watu wanampigia debe Membe, umesoma alisaini nini huko China? Wengine wanasema ni msafi, kuna mtu alikua msafi zaidi ya Mkapa?
 
Anataka ku fulfill hierachy na needs tuu! Hamna cha zaidi! Better opt 4 me guys! Though sijawa na exprns lakini mzalendo
 
Lowassa ni mchapa kazi na pia ni kiongozi mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu yenye manufaa kwa taifa. Nitamchagua 2015
 
Where does he get the money to bribe the electorate to a achieve his dream?

CCM is simply dirty! Even Membe is going to perpetuate Kiwete legacy which is dependency on foreign aid and allowing these western countries to plunder our resources
Good question,
Waziri mmoja katika serikali ya Kikwete aliniambia kuwa shughuli zake za biashara zinamwingizia hela kila siku kuliko zile zinazokusanywa na TRA. So you can figure.
 
mkuu Gembe EL anautaka urais kwasababu urais ni taasisi ambayo mtu yeyote anaweza kuiongoza kwa miaka ya hivi karibuni....
 
Last edited by a moderator:
Time will tell. Lakini nina uhakika 2015, Watanganyika HATUDANGANYIKI tena. Anayefikiri Watanganyika wa 2010 ndio watakuwa wale wale wa 2015, basi atakuwa amejidanganya sana.
Kwa Tume ya Uchaguzi ipi? Kwa Katiba ipi?

Inanigofya sana, nawaza; ili CCM na mgombea yeyote washindwe kwa Katiba na Tume ya Uchaguzi hii, damu za Watanzania wengi zitamwagwa.

God forbid.
 
Anataka kuhakikisha anakuja kudeal na wabaya wake.Anavinyongo rohoni.
 
Bora tajiri awe rais kuliko maskini maana maskini atataka ajitajirishe kwanza wakati tajiri hiyo stage kaishaipita
 
anahitaji kutimiza ndoto ya urais kwa sababu ya SELF ACTUALIZATION (Abraham Maslow). Unapokuwa umeshafanya mambo yote nh kawaida kutaka la juu zaidi.
 

Alishawahi kukwambia au kutangaza kuwa anautaka Urais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…