Hivi kwanini maonesho ya Nanenane yamefutwa?

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Kama kuna ambaye anajua sababu ya kufutwa kwa maonyesho ya nane nae tujuze. Maonesho haya yalikuwa ni fursa za kibiashara na sio fursa tu bali hata kuwa sehemu ya burudani kwa siku zile za maonyesho watu wakitoka na familia zao kubadilisha mazingira.

Ninatamani sana yangerudishwa.
 
Yamefutwa lini tena? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Pengine ubunifu wa waziri husika uliishia hapo
 
Yamefutwa lini tena? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ni kitambo mkuu kabla hata jiwe hajashushwa kuzimu ila ni wakati wake wa kipindi cha pili
 
Zamani tulikuwa na sabasaba

Then nanenane

Leo kupitia hii hoja yako

Kwamba nanenane imefutwa

Imefutwa lini? Na ilikuwaje?
 
Tumeamua kufufua kumbi za cinema zote nchini
Mpaka sasa hakuna faida yeyote ya ile kitu
 
Kama kitu hujui ni bora kukaa kimya mtu hajui kitu halafu anabisha mimi nina facts ndio maana ninasema haya
 
Katika maswala ambayo sikuyaelewa ni hili la kufutwa kwa sherehe za Nanenane. Asante muanzisha uzi kwa kuuliza hili.
 
Mbona wameeleza hapo kuwa ni kubana matumizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…