EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Kama kuna ambaye anajua sababu ya kufutwa kwa maonyesho ya nane nae tujuze. Maonesho haya yalikuwa ni fursa za kibiashara na sio fursa tu bali hata kuwa sehemu ya burudani kwa siku zile za maonyesho watu wakitoka na familia zao kubadilisha mazingira.
Ninatamani sana yangerudishwa.
Ninatamani sana yangerudishwa.