Hivi kwanini matajiri wakubwa hapa Tanzania ni wahindi na waarabu tu?

Wa - Africa wanaabudu wasichokijua, sometimes wanaweza wakawa wanaabudu kinyume. bila kujua, MUNGU mleta mali ni yupi.
 
Kwangu umasikini naweza itafsiri kama ile hali ya kuwa muhitaj, utajiri ni ile hali ya kujitosheleza au kutosheka.
Hivyo ukiwa na pesa alafu ukawa bahiri ndugu yangu wewe ni masikini.
 
Mimi ilikuwa kila nkienda k.koo na temeke nlikuwa nawaona muha kibao na mazaga yao....swali nkajiuliza "mitaji wanatoa waapi?"

Siku nikamkalisha muha mmoja nnayemkopaga vitu....nkampa sound mpk akasema ukweli.

Kuna matajiri wa kihindi kule k.koo wao mishe zao ni kutoa mikopo kwa vijana hao kisha unarudisha pesa kidogkidogo kwa riba.

Wahindi wanajua kuiheshim pesa...!!yan hawataki utan kbsaa....na pia sio watu wa stareh saaana...!!kingine ht mahitaji huchukua jumla...na pia zaidi wanainuana wao kwa wao sio km sisi unga robo tunarogana kila siku

Wabongo nasi km tukiheshim pesa...tukaacha matumiz yakijinga mbna tutatoboa tuu
 
Unayojifunza kwao unayafanyia kazi?
 
Hivi kwanini washamba wengi hapa Tanzania ni wasukuma tu[emoji41]

Umaarufu unachangia, nina uhakika ukikaa utaje makabila kati ya 120+ ukijitahidi sana utataja 30... na utaanza na wasukuma kabla hata ya kabila lako!
 
Mkuu safi sana nimejifunza kitu mara nyingi ukichukulia jambo kwa mtazamo hasi hata matokeo huwa hasi.
Tusijiulize kwanini wenzetu wanafanikiwa labda ni wezi ama nini ila tujifunze kwa mazuri kama uliyoainisha Mkuu,
Hili jambo la kuishi na familia zao(Babu,Bibi, Baba, Mama) kwa Amani limenifurahisha Zaidi kwani ndio mwanzo wa kupata baraka na kuinuana kama familia.
 
Hii ni kweli aseee pure truth 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…