Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma kitu kinaitwa “Poverty Viscious Cycle” utapata jibu kwa haraka!Kuna familia ambazo tokea kitambo zinaendelea kufanikiwa kiuchumi na masikini/choka mbaya hadi leo ni hivyo hivyo?
Mawazo ya urithi kama ya ROBERT HERIEL yanafanya familia maskini kuwa maskini zaidi.Kuna familia ambazo tokea kitambo zinaendelea kufanikiwa kiuchumi na masikini/choka mbaya hadi leo ni hivyo hivyo?
Abraham Maslow nini?Soma kitu kinaitwa “Poverty Viscious Cycle” utapata jibu kwa haraka!
Kuna familia ambazo tokea kitambo zinaendelea kufanikiwa kiuchumi na masikini/choka mbaya hadi leo ni hivyo hivyo?
hata kwenye dini,imeandikwa aliye nacho huongezewa!!Soma kitu kinaitwa “Poverty Viscious Cycle” utapata jibu kwa haraka!
Utajiri inawezekana sio Process ndefu kama wengi wanavyotaka kuaminiIssue ya umaskini na utajiri ni pana sana, sio kama wengi wanavyoichukulia. Kuna watu wana pesa nyingi lakini ni maskini, na kuna watu ni maskini sana ila wana pesa nyingi. "MASKINI AKIPATA MATAKO HULIA MBWATA". Kuwa tajiri ni process ndefu na wengi hawalijui hili. Hawa matajiri wa voda fasta (accidental Bilionears) hupotea fasta kwenye ulimwengu wa utajiri. Utajiri pia una levels.
Mawazo ya urithi kama ya ROBERT HERIEL yanafanya familia maskini kuwa maskini zaidi.
Aidha ukweli ni kuwa familia ambazo zilikuwa za hali ya juu miaka ya 70 zimedidimia na familia zilizokuwa maskini wakati huo zimekuwa bora zaidi miaka hii ya 2000 kutokana na watoto wa wazazi wa miaka ya 70 kujituma zaidi kuhassle bila kufikiria urithi.
Ni sawa,u
Utajiri inawezekana sio Process ndefu kama wengi wanavyotaka kuamini
Ni mindset
Una vision kiasi gani?
Una willing ya ku take "calculated risk" kiasi gani?
Unatumia vipi fursa zilizopo kwenye zama zako?
Top 20 ya Billionaires duniani imejaa hao "accidental billionaires"
Lakini ndio hao wanao tengeneza future yetu mpaka sasa
RockeFeller Family ilitumia miaka 100 kutengeneza hadhina ambayo Mark Zuckerberg anaweza kuingiza kiasi hiko hiko kwa miaka 2 au 3 Facebook
Utajiri sio kazi ngumu kwa sasa, ugumu ni ku tune mindset yako na ku stay focused
Tukichanganya mazingira ya Kizungu na Kiswahili mjadala hautanoga. Twende maneromango kule tukamtoe kijana aliyezaliwa na kuishi kule na sasa anataka kutoboa.u