Ww hasa ni chizi mpira wa nchi isiyo jielewa washindanisha na nchi zinazo unda magariNdio ujuage simba ni kubwa kuliko hao mamelod
na wewe msimu huu wachezaji unao wawili tu kanoute na tshabalala tu hakuna mwingineLeo ndo nimeamin kumbe Kweli Ni Kikwete Na Mzee manala Tu Hakuna mwingine
brazil mabingwa mara tano kombe la duniaKwa hiyo una maanisha katika timu zinazo vaa jezi za njano, ni yanga peke yake ambayo ni mbovu?
Katika hizo timu kuna ambayo ishawahi tembeza bakuli ukiachana na uto?
Kwa ligi yetu wacha Simba iombe tu mda ,wale key players wanaweza kuumizwa,mfano ile mechi na Dodoma Jiji baada ya siku 3 wangeenda kucheza kimataifa unadhani wale majeruhi wangekwepo?
Tena Polisi ndo wacheza rafu unataka timu nzima iumizwe ikose wachezaji ?
kwa hiyo na mwaka huu pia una ndoto timu yako itavuka makundi??Tff wanajua umuhimu wa Simba wanaposhiriki klabu bingwa afrika.
Kwanza wanaingiza mapato makubwa.
Wanabeba timu nyingi kiasi Cha nchi kuongezewa nafasi za ushiriki.
Wanaitangazia kimataifa.
Wanatumia mafanikio ya Simba kuombea kura.
TFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu
Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko Jwaneng Galaxy [huu ndo ukweli japokuwa shirikisho linaonekana kombe dhaifu kuliko klabu bingwa].
Mbona tunaona wenzetu ulaya wakati mwingine timu inacheza mechi 3 mfululizo tena ngumu na hawanaga mambo ya kulialia kama hawa makolo, waweza kuta liverpool anapiga uefa na madrid jumatano jumamos anapiga ligi na man u na jumatano tena anarudiana na madrid hususan hatua za nusu fainali.
wachezaji wenyewe wakumpumzika wako wapi??unaweza kuta badala ya kupumzika wanakwenda kwa mpalange.
Hata kama wameomba nadhan ni mda sasa TFF waache kulea huu upuuzi
haya mapumziko hayapangw na caf ni tff na makolo na ulimbuken wao nimetolea mfano mamelodi wamecheza jana ina maana simba ni giant kuliko mamelod???Mechi za Simba zisilinganishe na mechi za Azam na Biashara ambao wanacheza ligi ndogo ya Shirikisho.
1. Simba ina cheza Club Bingwa Afrika.
2. Simba ni giant team hapa barani Africa Africa na inatambulika hata na CAF ndio maana hawajaanzia hatua za mtoano kama Utopolo.
3. Simba ndio iliyowafanya Utopolo na Biashara united kushiriki ligi ya mabingwa bila kuwa na Sifa.
NB, ni ajabu timu zilikuwa nne zinazoshiriki kimataifa. anayelalamika ni Utopolo tu, ambayo ndio timu mbovu kuliko zote zilizoshiriki michuanio hiyo na kutolewa hatua ya awali kabisa na kufungwa nje ndani na bila kupata hata goli moja la kufutia machozi.haya mambo ya mapumziko hayapangwi na cuf ni tff na ulimbukeni wao
Nyie ndo mnawapa shida wenzenu waonekane wote wanaoshabikia utopolo ni wajingaWw hasa ni chizi mpira wa nchi isiyo jielewa washindanisha na nchi zinazo unda magari
Afadhali sisi tuna ndoto huku bado tunashiriki lakini nyinyi mmeshatolewa mashindanonikwa hiyo na mwaka huu pia una ndoto timu yako itavuka makundi??
tusubiri tuone mana tukiongea sana mnatuambia tuna wivu
Simba inajali mechi za kimataifa ,Azam wanajulikana hawana la kupoteza ,na kwa upande wa yanga inajulikana kipaombele yao siyo club bingwa ni kuifunga Simba
Tatizo Karai FC na timu yake hapo tifua tifua.TFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu
Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko Jwaneng Galaxy [huu ndo ukweli japokuwa shirikisho linaonekana kombe dhaifu kuliko klabu bingwa].
Mbona tunaona wenzetu ulaya wakati mwingine timu inacheza mechi 3 mfululizo tena ngumu na hawanaga mambo ya kulialia kama hawa makolo, waweza kuta liverpool anapiga uefa na madrid jumatano jumamos anapiga ligi na man u na jumatano tena anarudiana na madrid hususan hatua za nusu fainali.
wachezaji wenyewe wakumpumzika wako wapi??unaweza kuta badala ya kupumzika wanakwenda kwa mpalange.
Hata kama wameomba nadhan ni mda sasa TFF waache kulea huu upuuzi
TFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu
Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko Jwaneng Galaxy [huu ndo ukweli japokuwa shirikisho linaonekana kombe dhaifu kuliko klabu bingwa].
Mbona tunaona wenzetu ulaya wakati mwingine timu inacheza mechi 3 mfululizo tena ngumu na hawanaga mambo ya kulialia kama hawa makolo, waweza kuta liverpool anapiga uefa na madrid jumatano jumamos anapiga ligi na man u na jumatano tena anarudiana na madrid hususan hatua za nusu fainali.
wachezaji wenyewe wakumpumzika wako wapi??unaweza kuta badala ya kupumzika wanakwenda kwa mpalange.
Hata kama wameomba nadhan ni mda sasa TFF waache kulea huu upuuzi
Wapuuzi sana,walisema kwa ratiba ya mwaka huu hakuna viporoTFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu
Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko Jwaneng Galaxy [huu ndo ukweli japokuwa shirikisho linaonekana kombe dhaifu kuliko klabu bingwa].
Mbona tunaona wenzetu ulaya wakati mwingine timu inacheza mechi 3 mfululizo tena ngumu na hawanaga mambo ya kulialia kama hawa makolo, waweza kuta liverpool anapiga uefa na madrid jumatano jumamos anapiga ligi na man u na jumatano tena anarudiana na madrid hususan hatua za nusu fainali.
wachezaji wenyewe wakumpumzika wako wapi??unaweza kuta badala ya kupumzika wanakwenda kwa mpalange.
Hata kama wameomba nadhan ni mda sasa TFF waache kulea huu upuuzi
Kwani wa biashara hawawezi kuumizwa?Kwa ligi yetu wacha Simba iombe tu mda ,wale key players wanaweza kuumizwa,mfano ile mechi na Dodoma Jiji baada ya siku 3 wangeenda kucheza kimataifa unadhani wale majeruhi wangekwepo?
Tena Polisi ndo wacheza rafu unataka timu nzima iumizwe ikose wachezaji ?
Ratiba ya ligi kuu na Ile ya CAF ili ilitangulia kutoka?Kwani wa biashara hawawezi kuumizwa?
Mbona Polisi anacheza Tena gemu jumamosi kwanini asipumzike na yeye?
Hivi wakati tff wanapanga ratiba hawakujua kwamba Simba atakuwa na game tarehe hizo na wakapanga vinginevyo
Tff Ni takataka kabisa toka walivyogeuza game ya yanga na Simba kwa sababu ya Rais niliwaona Ni wapumbavu.