Hivi kwanini mechi kati ya Simba na Polisi imeahirishwa?

sikufikiria kama mods humu pia ni mashabiki wa makolo wamenibadilisha heading bila sababu za msingi

jamani muelewe hii ya sasa sio simba ni MAKOLO FC mbona mashabiki wao hilo jina washalikubali
 
Leo ndo nimeamin kumbe Kweli Ni Kikwete Na Mzee manala Tu Hakuna mwingine
na wewe msimu huu wachezaji unao wawili tu kanoute na tshabalala tu hakuna mwingine
wote waliobaki ni magarasa tu

na hivi kelvin kapumbu nae mmetoa kwa mkopo kama chikwende??
 
Kwa hiyo una maanisha katika timu zinazo vaa jezi za njano, ni yanga peke yake ambayo ni mbovu?

Katika hizo timu kuna ambayo ishawahi tembeza bakuli ukiachana na uto?
brazil mabingwa mara tano kombe la dunia
mamelodi mabingwa klbu bingwa africa 2016
yanga mabingwa wa kihistoria tanzania mara 27
yanga ina mfungaji wa mda wote mwenye magoli mengi katika ligi kuu Mohamed Hussein
yanga timu ya kwanza tanzania kutetea ubingwa mara tano 1972,1971,1970,1969,1968
yanga timu ya kwanza tanzania kupeleka mchezaji ulaya Sunday Manara

jezi ya njano haijawahi kufeli braza endeleeni kuteseka
 
Kwa ligi yetu wacha Simba iombe tu mda ,wale key players wanaweza kuumizwa,mfano ile mechi na Dodoma Jiji baada ya siku 3 wangeenda kucheza kimataifa unadhani wale majeruhi wangekwepo?

Tena Polisi ndo wacheza rafu unataka timu nzima iumizwe ikose wachezaji ?

cc ngajapo Livejr Cvez
sio kwamba mnaowaogopa galaxy watapindua meza kibabe?
azam wao hawaofii wachezaji wao kuumia???? na tena wamecheza mechi ngumu haswa na timu bora ya namungo
 
Tff wanajua umuhimu wa Simba wanaposhiriki klabu bingwa afrika.

Kwanza wanaingiza mapato makubwa.

Wanabeba timu nyingi kiasi Cha nchi kuongezewa nafasi za ushiriki.

Wanaitangazia kimataifa.

Wanatumia mafanikio ya Simba kuombea kura.
kwa hiyo na mwaka huu pia una ndoto timu yako itavuka makundi??

tusubiri tuone mana tukiongea sana mnatuambia tuna wivu
 
TFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu

Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko Jwaneng Galaxy [huu ndo ukweli japokuwa shirikisho linaonekana kombe dhaifu kuliko klabu bingwa].

Mbona tunaona wenzetu ulaya wakati mwingine timu inacheza mechi 3 mfululizo tena ngumu na hawanaga mambo ya kulialia kama hawa makolo, waweza kuta liverpool anapiga uefa na madrid jumatano jumamos anapiga ligi na man u na jumatano tena anarudiana na madrid hususan hatua za nusu fainali.

wachezaji wenyewe wakumpumzika wako wapi??unaweza kuta badala ya kupumzika wanakwenda kwa mpalange.

Hata kama wameomba nadhan ni mda sasa TFF waache kulea huu upuuzi

Yale yale ya miaka yote, unaongoza ligi lakini una wasiwasi. Na bado, yataendelea kujirudia.
NB:
Biashara United pia imeahirishiwa mechi. Azam haikuomba kwa kuwa ilikuwa na uhakika na logistics za usafiri. Na tunaposema logistics za usafiri hatumaanishi chombo tu (ndege), ni pamoja na covid19
 
Mechi za Simba zisilinganishe na mechi za Azam na Biashara ambao wanacheza ligi ndogo ya Shirikisho.

1. Simba ina cheza Club Bingwa Afrika.

2. Simba ni giant team hapa barani Africa Africa na inatambulika hata na CAF ndio maana hawajaanzia hatua za mtoano kama Utopolo.

3. Simba ndio iliyowafanya Utopolo na Biashara united kushiriki ligi ya mabingwa bila kuwa na Sifa.

NB, ni ajabu timu zilikuwa nne zinazoshiriki kimataifa. anayelalamika ni Utopolo tu, ambayo ndio timu mbovu kuliko zote zilizoshiriki michuanio hiyo na kutolewa hatua ya awali kabisa na kufungwa nje ndani na bila kupata hata goli moja la kufutia machozi.haya mambo ya mapumziko hayapangwi na cuf ni tff na ulimbukeni wao
haya mapumziko hayapangw na caf ni tff na makolo na ulimbuken wao nimetolea mfano mamelodi wamecheza jana ina maana simba ni giant kuliko mamelod???
nnachoeleza hakukuwa na haja ya kupumzika si mshamaliza kazi botswana kinachowafanya mpumzike ni kitu gani kama sio kutokujiamini
mnajua timu yenu kwa sasa ni tia tia maji wasije wabotswana wakawahadhili

Azam wana mechi ngumu zaidi ugenini na pyramid ina maana wao wakifanya vizuri katika shirikisho sio faida kwa tff na taifa kwa ujumla?

kiufupi tff na makolo wamekalili lazima wapumzike wakati kulikuwa hakuna haja ya kupumzika na kurundika viporo visivyo na sababu
 
Ww hasa ni chizi mpira wa nchi isiyo jielewa washindanisha na nchi zinazo unda magari
Nyie ndo mnawapa shida wenzenu waonekane wote wanaoshabikia utopolo ni wajinga

Nchi kutengeneza magari kuna uhusiano gani na watu wa nchi hiyo kuwa bora kisoka?

Hawa ni brazil waliozidiwa na japan kwa utengenezaji wa magari, angalia points hizo

1634797750303.png

Japan ni ya ngapi kwenye rank ya soka kwa mujibu wa fifa?

1634797419876.png

Na hawa ndo japan maarufu kwa utengenezaji wa magari, sa kwanini wazidiwe na brazil?
 
cc ngajapo Livejr Cvez
sio kwamba mnaowaogopa galaxy watapindua meza kibabe?
azam wao hawaofii wachezaji wao kuumia???? na tena wamecheza mechi ngumu haswa na timu bora ya namungo
Simba inajali mechi za kimataifa ,Azam wanajulikana hawana la kupoteza ,na kwa upande wa yanga inajulikana kipaombele yao siyo club bingwa ni kuifunga Simba
 
TFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu

Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko Jwaneng Galaxy [huu ndo ukweli japokuwa shirikisho linaonekana kombe dhaifu kuliko klabu bingwa].

Mbona tunaona wenzetu ulaya wakati mwingine timu inacheza mechi 3 mfululizo tena ngumu na hawanaga mambo ya kulialia kama hawa makolo, waweza kuta liverpool anapiga uefa na madrid jumatano jumamos anapiga ligi na man u na jumatano tena anarudiana na madrid hususan hatua za nusu fainali.

wachezaji wenyewe wakumpumzika wako wapi??unaweza kuta badala ya kupumzika wanakwenda kwa mpalange.

Hata kama wameomba nadhan ni mda sasa TFF waache kulea huu upuuzi
Tatizo Karai FC na timu yake hapo tifua tifua.
 
Utachotakiwa kujua Simba ni timu ya nchi hata CAF wanalijua hilo ndo maana wakaruhusu mechi za kimataifa Simba kuingiza mashabiki mechi ya marudiano na Jwaneng Galax pale Lupaso kwa Chenka.
 
Kwenye huo mfano wako man utd nayo ni timu ngumu au unaota??
TFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu

Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko Jwaneng Galaxy [huu ndo ukweli japokuwa shirikisho linaonekana kombe dhaifu kuliko klabu bingwa].

Mbona tunaona wenzetu ulaya wakati mwingine timu inacheza mechi 3 mfululizo tena ngumu na hawanaga mambo ya kulialia kama hawa makolo, waweza kuta liverpool anapiga uefa na madrid jumatano jumamos anapiga ligi na man u na jumatano tena anarudiana na madrid hususan hatua za nusu fainali.

wachezaji wenyewe wakumpumzika wako wapi??unaweza kuta badala ya kupumzika wanakwenda kwa mpalange.

Hata kama wameomba nadhan ni mda sasa TFF waache kulea huu upuuzi
 
TFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu

Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko Jwaneng Galaxy [huu ndo ukweli japokuwa shirikisho linaonekana kombe dhaifu kuliko klabu bingwa].

Mbona tunaona wenzetu ulaya wakati mwingine timu inacheza mechi 3 mfululizo tena ngumu na hawanaga mambo ya kulialia kama hawa makolo, waweza kuta liverpool anapiga uefa na madrid jumatano jumamos anapiga ligi na man u na jumatano tena anarudiana na madrid hususan hatua za nusu fainali.

wachezaji wenyewe wakumpumzika wako wapi??unaweza kuta badala ya kupumzika wanakwenda kwa mpalange.

Hata kama wameomba nadhan ni mda sasa TFF waache kulea huu upuuzi
Wapuuzi sana,walisema kwa ratiba ya mwaka huu hakuna viporo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa ligi yetu wacha Simba iombe tu mda ,wale key players wanaweza kuumizwa,mfano ile mechi na Dodoma Jiji baada ya siku 3 wangeenda kucheza kimataifa unadhani wale majeruhi wangekwepo?

Tena Polisi ndo wacheza rafu unataka timu nzima iumizwe ikose wachezaji ?
Kwani wa biashara hawawezi kuumizwa?

Mbona Polisi anacheza Tena gemu jumamosi kwanini asipumzike na yeye?

Hivi wakati tff wanapanga ratiba hawakujua kwamba Simba atakuwa na game tarehe hizo na wakapanga vinginevyo

Tff Ni takataka kabisa toka walivyogeuza game ya yanga na Simba kwa sababu ya Rais niliwaona Ni wapumbavu.
 
Ratiba ya ligi kuu na Ile ya CAF ili ilitangulia kutoka?
 
Back
Top Bottom