MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi historia, anajizatiti kabisa kuua Wayahudi na watoto wao.
Mitaani huku kuna watu wana chuki dhidi ya Wayahudi, yaani Mwafrika ngozi nyeusi ambaye hata hajawahi kutoka nje ya mji alikozaliwa, lakini kutwa wanakusanyika na kubwatuka chuki zao kwa Wayahudi, ambao wapo mbali sana.
Ni laana ipi iko juu ya Wayahudi hadi watafutiwe kufutwa na hivi vizazi na miungu ya kila aina.
Mnaruhusiwa povu, ila ikumbukwe sijataja dini ya mtu.......