Hivi kwanini "miungu" mingi iliyojiteokeza huwa inajaribu kufuta Wayahudi, walikosea wapi

Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi historia, anajizatiti kabisa kuua Wayahudi na watoto wao.

Mitaani huku kuna watu wana chuki dhidi ya Wayahudi, yaani Mwafrika ngozi nyeusi ambaye hata hajawahi kutoka nje ya mji alikozaliwa, lakini kutwa wanakusanyika na kubwatuka chuki zao kwa Wayahudi, ambao wapo mbali sana.
Ni laana ipi iko juu ya Wayahudi hadi watafutiwe kufutwa na hivi vizazi na miungu ya kila aina.

Mnaruhusiwa povu, ila ikumbukwe sijataja dini ya mtu.......
Umemsahau Yesu,pia ungemuweka kwenye orodha ya miungu.Lakini ukumbuke atarudi meisho wa dunia.
 
kwa nukuu hizo basi Mungu ndiyo chanzo cha chuki, Mungu ndiye baba wa ubaguzi.
Kwanini apitie kwa watu fulani Israel badala ya kupitia kwa wanadamu wote?
Kwahiyo Mungu ana watu wake spesho?
Hatimae tumemjua baba wa chuki na ubaguzi.
Mbona wewe watoto wako kuwapata umepitia kwa mkeo mama chanja?
 
ila cha kushangaza ni kuwa waisrael wengi sio wakristo na wala hawafuati maandiko ya bible hii
Wayahudi wengi wana dini yao Judaism ambayo wanaamini Torati ya Musa. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vikiwemo na vile ambavyo waumini wa Judaism wanaviamini.
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu kwa hiyo myahudi anaweza chukua Biblia akasoma vitabu tu vile anavyoamini na vingine asisome. Hata Evangelical Christian akichukua Biblia ya wakatoliki yenye vitabu 72 hatajisumbua na vile vitabu 6 vilivyoongezwa bali atajishughulisha na vitabu vyake 66
 
Story za kijinga hizi na za kufikirika, zenye lengo la kuhalalisha mauaji, machafuko, vita, uonevu, ukandamizaji, uvamizi, na kila aina ya uovu hapa duniani! Kwa lengo tu la kufanya biashara ya silaha.
 
Israel ni taifa pekee la MUNGU
Wakati MUNGU anampa agano IBRAHIM baba wa Imani alimwambia "AKULAANIYE ATALAANIWA NA AKUBARIKIYE ATABARIKIWA (MWANZO 12:2-3) pia soma HESABU 22:6
Hapo utaelewa Israel MUNGU wa Israel ana nguvu kuliko miungu mingine
 
Umemsahau Yesu,hukumuweka kwenye orodha.

Yesu hakuhubiri kufutika kwa Wayahudi, yeye kaja anahubiri upendo, na vitabu vya Wayahudi vimeandikwa ujio wa Yesu, bado wanamsubiri hadi leo, hawaamini huyu aliyekuja akihubiri amani, wao wanajua Yesu anapaswa kuja kijemedari.
Sasa nyie miungu yenu imehubiri mauaji kwa Wayahudi.
 
Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi historia, anajizatiti kabisa kuua Wayahudi na watoto wao.

Mitaani huku kuna watu wana chuki dhidi ya Wayahudi, yaani Mwafrika ngozi nyeusi ambaye hata hajawahi kutoka nje ya mji alikozaliwa, lakini kutwa wanakusanyika na kubwatuka chuki zao kwa Wayahudi, ambao wapo mbali sana.
Ni laana ipi iko juu ya Wayahudi hadi watafutiwe kufutwa na hivi vizazi na miungu ya kila aina.

Mnaruhusiwa povu, ila ikumbukwe sijataja dini ya mtu.......
Kuna ka mungu kamoja umekasahau, kanapatikana kwenye jiwe jeusi Saudia..
 
ila cha kushangaza ni kuwa waisrael wengi sio wakristo na wala hawafuati maandiko ya bible hii
Hicho sio cha kushangaza kipo kwenye Biblia kabisa. Ugumu wa Wayahudi kumwamini Kristo upo kwenye unabii. Soma Kitabu cha Warumi 11:25-32. Au unaweza kusoma sura ya 11 yote
Jambo la msingi ni kwamba TAIFA LA ISRAEL NI MPANGO WA MUNGU. Lipo kwenye mipango ya Mungu. Mingine imeshatimia mingine bado. Utimilifu wake utafika wakati Mungu atakapoumba MBINGU MPYA NA NCHI MPYA. Je, alichopanga Mungu ni mwanadamu gani au mungu gani mwenye uwezo wa kupangua?
 
Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi historia, anajizatiti kabisa kuua Wayahudi na watoto wao.

Mitaani huku kuna watu wana chuki dhidi ya Wayahudi, yaani Mwafrika ngozi nyeusi ambaye hata hajawahi kutoka nje ya mji alikozaliwa, lakini kutwa wanakusanyika na kubwatuka chuki zao kwa Wayahudi, ambao wapo mbali sana.
Ni laana ipi iko juu ya Wayahudi hadi watafutiwe kufutwa na hivi vizazi na miungu ya kila aina.

Mnaruhusiwa povu, ila ikumbukwe sijataja dini ya mtu.......
Kwanini Hitler aliwachukia wayahudi... ?! Utapata jibu na Hitler alichelewa sana angamalizana nao mapema mno
 
ila cha kushangaza ni kuwa waisrael wengi sio wakristo na wala hawafuati maandiko ya bible hii
Agano la kale lote ndio kitabu cha dini ya wayahud mkuu sema wao hawaamini agano jipya tu.
 
8a714f03e8fc33de8de3df4abb6f6cf1.jpg

Ayatolah nae analia na kusaga meno.
 
Hate with no reasons.

"The full truth about the persecution of the Jews is not and cannot be known".
 
Watu ambao makabila 11 yamepotea kama upepo, watu ambao waliona Bora Jambazi asemehewe na Yesu asulubiwe!

Watu ambao kwa miaka 2000 wanatangatanga kote duniani hawapedwi! Watu waliojaa hila, ulaghai na ghilba!

Halafu Kuna mjinga takes pride on them! To hell with their tribal perspection of god!
 
Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi historia, anajizatiti kabisa kuua Wayahudi na watoto wao.

Mitaani huku kuna watu wana chuki dhidi ya Wayahudi, yaani Mwafrika ngozi nyeusi ambaye hata hajawahi kutoka nje ya mji alikozaliwa, lakini kutwa wanakusanyika na kubwatuka chuki zao kwa Wayahudi, ambao wapo mbali sana.
Ni laana ipi iko juu ya Wayahudi hadi watafutiwe kufutwa na hivi vizazi na miungu ya kila aina.

Mnaruhusiwa povu, ila ikumbukwe sijataja dini ya mtu.......
Unapo andika Miungu unakusudia wepi?

Possibly umeandika vitu ambavyo huenda huna ufahamu navyo.

Ikiwa unamkusudia Aliyewaumba hao wayahudi kuwa hajaweza kuwapoteza basi unadhihirisha kiwango kikubwa mno cha ukosefu wa ufahamu.

aliweza kuwapoteza watu wa Nuhu na akabakisha aliowataka yeye vipi ashindwe na hawa viumbe Dhalili?

Qur’an sura ya 71:26. And Noah said: My Lord! Leave not one of the disbelievers in the land.
Hapo Nabii Nuhu anamuomba MOLA mlezi asibakishe kafiri hata mmoja katika Ardhi , na MOLA MLEZI hakumbakisha hata mmoja.

Sasa hapa unamkusudia Mungu Muumba au hawa miungu Wenu wa kuendeshea Maisha?
 
Kama hadi miungu uliosema inawachukia wayahudi wewe binadamu kinachokufanya uwapende nini ?
 
Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi historia, anajizatiti kabisa kuua Wayahudi na watoto wao.

Mitaani huku kuna watu wana chuki dhidi ya Wayahudi, yaani Mwafrika ngozi nyeusi ambaye hata hajawahi kutoka nje ya mji alikozaliwa, lakini kutwa wanakusanyika na kubwatuka chuki zao kwa Wayahudi, ambao wapo mbali sana.
Ni laana ipi iko juu ya Wayahudi hadi watafutiwe kufutwa na hivi vizazi na miungu ya kila aina.

Mnaruhusiwa povu, ila ikumbukwe sijataja dini ya mtu.......
Wakristo ndio dini ya kwanza kupenda uovu na kutetea ushetani .kwa wazi bila kuficha
 
Unapo andika Miungu unakusudia wepi?

Possibly umeandika vitu ambavyo huenda huna ufahamu navyo.

Ikiwa unamkusudia Aliyewaumba hao wayahudi kuwa hajaweza kuwapoteza basi unadhihirisha kiwango kikubwa mno cha ukosefu wa ufahamu.

aliweza kuwapoteza watu wa Nuhu na akabakisha aliowataka yeye vipi ashindwe na hawa viumbe Dhalili?

Qur’an sura ya 71:26. And Noah said: My Lord! Leave not one of the disbelievers in the land.
Hapo Nabii Nuhu anamuomba MOLA mlezi asibakishe kafiri hata mmoja katika Ardhi , na MOLA MLEZI hakumbakisha hata mmoja.

Sasa hapa unamkusudia Mungu Muumba au hawa miungu Wenu wa kuendeshea Maisha?

Nimetumia neno miungu na nikatoa mifano, quran ni kitabu kimeandikwa miaka 500 baada ya Yesu, kabla ya quran kulikua na miungu mingine iliyojaribu kufuta Wayahudi ila wakalindwa na Mungu wao Muumba wa mbingu na nchi.
Hata mohammad huyo wa quran alijaribu kufuta Wayahudi, soma siege of Banu Qurayza, ila akashindwa.
 
Kwanini Hitler aliwachukia wayahudi... ?! Utapata jibu na Hitler alichelewa sana angamalizana nao mapema mno

Hittler pia alitumika na shetani kama ambavyo wengine wote walitumika awali ila wakashindwa, kunao wanatumika leo hii lakini wanashindwa.
 
Back
Top Bottom