physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
aliywKuna shetani alla yeye ndio kila siku anaatanguliza motoni wafuasi wake,israil mtoa roho hana masihara
Umemsahau Yesu,pia ungemuweka kwenye orodha ya miungu.Lakini ukumbuke atarudi meisho wa dunia.Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi historia, anajizatiti kabisa kuua Wayahudi na watoto wao.
Mitaani huku kuna watu wana chuki dhidi ya Wayahudi, yaani Mwafrika ngozi nyeusi ambaye hata hajawahi kutoka nje ya mji alikozaliwa, lakini kutwa wanakusanyika na kubwatuka chuki zao kwa Wayahudi, ambao wapo mbali sana.
Ni laana ipi iko juu ya Wayahudi hadi watafutiwe kufutwa na hivi vizazi na miungu ya kila aina.
Mnaruhusiwa povu, ila ikumbukwe sijataja dini ya mtu.......
Mbona wewe watoto wako kuwapata umepitia kwa mkeo mama chanja?kwa nukuu hizo basi Mungu ndiyo chanzo cha chuki, Mungu ndiye baba wa ubaguzi.
Kwanini apitie kwa watu fulani Israel badala ya kupitia kwa wanadamu wote?
Kwahiyo Mungu ana watu wake spesho?
Hatimae tumemjua baba wa chuki na ubaguzi.
Wayahudi wengi wana dini yao Judaism ambayo wanaamini Torati ya Musa. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vikiwemo na vile ambavyo waumini wa Judaism wanaviamini.ila cha kushangaza ni kuwa waisrael wengi sio wakristo na wala hawafuati maandiko ya bible hii
Umemsahau Yesu,hukumuweka kwenye orodha.
Kuna ka mungu kamoja umekasahau, kanapatikana kwenye jiwe jeusi Saudia..Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi historia, anajizatiti kabisa kuua Wayahudi na watoto wao.
Mitaani huku kuna watu wana chuki dhidi ya Wayahudi, yaani Mwafrika ngozi nyeusi ambaye hata hajawahi kutoka nje ya mji alikozaliwa, lakini kutwa wanakusanyika na kubwatuka chuki zao kwa Wayahudi, ambao wapo mbali sana.
Ni laana ipi iko juu ya Wayahudi hadi watafutiwe kufutwa na hivi vizazi na miungu ya kila aina.
Mnaruhusiwa povu, ila ikumbukwe sijataja dini ya mtu.......
Hicho sio cha kushangaza kipo kwenye Biblia kabisa. Ugumu wa Wayahudi kumwamini Kristo upo kwenye unabii. Soma Kitabu cha Warumi 11:25-32. Au unaweza kusoma sura ya 11 yoteila cha kushangaza ni kuwa waisrael wengi sio wakristo na wala hawafuati maandiko ya bible hii
Kwanini Hitler aliwachukia wayahudi... ?! Utapata jibu na Hitler alichelewa sana angamalizana nao mapema mnoUkisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi historia, anajizatiti kabisa kuua Wayahudi na watoto wao.
Mitaani huku kuna watu wana chuki dhidi ya Wayahudi, yaani Mwafrika ngozi nyeusi ambaye hata hajawahi kutoka nje ya mji alikozaliwa, lakini kutwa wanakusanyika na kubwatuka chuki zao kwa Wayahudi, ambao wapo mbali sana.
Ni laana ipi iko juu ya Wayahudi hadi watafutiwe kufutwa na hivi vizazi na miungu ya kila aina.
Mnaruhusiwa povu, ila ikumbukwe sijataja dini ya mtu.......
Agano la kale lote ndio kitabu cha dini ya wayahud mkuu sema wao hawaamini agano jipya tu.ila cha kushangaza ni kuwa waisrael wengi sio wakristo na wala hawafuati maandiko ya bible hii
Unapo andika Miungu unakusudia wepi?Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi historia, anajizatiti kabisa kuua Wayahudi na watoto wao.
Mitaani huku kuna watu wana chuki dhidi ya Wayahudi, yaani Mwafrika ngozi nyeusi ambaye hata hajawahi kutoka nje ya mji alikozaliwa, lakini kutwa wanakusanyika na kubwatuka chuki zao kwa Wayahudi, ambao wapo mbali sana.
Ni laana ipi iko juu ya Wayahudi hadi watafutiwe kufutwa na hivi vizazi na miungu ya kila aina.
Mnaruhusiwa povu, ila ikumbukwe sijataja dini ya mtu.......
Kama hadi miungu uliosema inawachukia wayahudi wewe binadamu kinachokufanya uwapende nini ?Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi historia, anajizatiti kabisa kuua Wayahudi na watoto wao.
Mitaani huku kuna watu wana chuki dhidi ya Wayahudi, yaani Mwafrika ngozi nyeusi ambaye hata hajawahi kutoka nje ya mji alikozaliwa, lakini kutwa wanakusanyika na kubwatuka chuki zao kwa Wayahudi, ambao wapo mbali sana.
Ni laana ipi iko juu ya Wayahudi hadi watafutiwe kufutwa na hivi vizazi na miungu ya kila aina.
Mnaruhusiwa povu, ila ikumbukwe sijataja dini ya mtu.......
Wakristo ndio dini ya kwanza kupenda uovu na kutetea ushetani .kwa wazi bila kufichaUkisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi historia, anajizatiti kabisa kuua Wayahudi na watoto wao.
Mitaani huku kuna watu wana chuki dhidi ya Wayahudi, yaani Mwafrika ngozi nyeusi ambaye hata hajawahi kutoka nje ya mji alikozaliwa, lakini kutwa wanakusanyika na kubwatuka chuki zao kwa Wayahudi, ambao wapo mbali sana.
Ni laana ipi iko juu ya Wayahudi hadi watafutiwe kufutwa na hivi vizazi na miungu ya kila aina.
Mnaruhusiwa povu, ila ikumbukwe sijataja dini ya mtu.......
Unapo andika Miungu unakusudia wepi?
Possibly umeandika vitu ambavyo huenda huna ufahamu navyo.
Ikiwa unamkusudia Aliyewaumba hao wayahudi kuwa hajaweza kuwapoteza basi unadhihirisha kiwango kikubwa mno cha ukosefu wa ufahamu.
aliweza kuwapoteza watu wa Nuhu na akabakisha aliowataka yeye vipi ashindwe na hawa viumbe Dhalili?
Qur’an sura ya 71:26. And Noah said: My Lord! Leave not one of the disbelievers in the land.
Hapo Nabii Nuhu anamuomba MOLA mlezi asibakishe kafiri hata mmoja katika Ardhi , na MOLA MLEZI hakumbakisha hata mmoja.
Sasa hapa unamkusudia Mungu Muumba au hawa miungu Wenu wa kuendeshea Maisha?
Kwanini Hitler aliwachukia wayahudi... ?! Utapata jibu na Hitler alichelewa sana angamalizana nao mapema mno