Agizachochote
Member
- Sep 29, 2020
- 34
- 464
Mnapata tabu hamjibiwi,hata mkitoa album nzima ya kuponda.Nyie endeleeni kuwa tangaza mademu mkiwala. Huo ni ushamba
Kama ni wakati wake si autumie tuone akitawala na kuchukua matuzo makubwa kama hao waliopitwa na wakati? Au kuna anaemzuia! Utalinganisha wimbo wake upi na hata Cheche tu ya Zuchu mtoto wa juzi huko Trending? Hii maneno haipo zaidi mdomoni na kulambana viatu, hii game iko wazi na ina hesabu zake ili ufike pale juu.Kiufupi tukiondoa skendo na kiki za mademu....mondi ni msanii utopolo kuliko lava lava
Ifike wakati tukubali kuwa zama za kibamia na domo zimepita...huu ni wakati wa kondeboy kutamba kimuziki.
Mondi hivisasa pumzi imekata,,utunzi wa mashairi umeisha
Anasubiri vikolabo tu vya wanae adandie