Hivi kwanini Mondi na timu yake adui yao Konde na siyo Kiba?

Kama ni wakati wake si autumie tuone akitawala na kuchukua matuzo makubwa kama hao waliopitwa na wakati? Au kuna anaemzuia! Utalinganisha wimbo wake upi na hata Cheche tu ya Zuchu mtoto wa juzi huko Trending? Hii maneno haipo zaidi mdomoni na kulambana viatu, hii game iko wazi na ina hesabu zake ili ufike pale juu.
Pole sana mkuu,,kumbe we bado ni mshamba wa kuamini msanii anayefanya vizuri ni yule anayebeba tuzo nyingi na kutrend YouTube??
Pole sana mkuu.
Kwahiyo unataka kuniambia diamond ana kipaji kuliko wasanii wote nchini kwa kuwa ana tuzo nyingi na anaongoza kutrend YouTube??
 
Hebu tutajie wewe ambaye si mshamba criteria za msanii anayefanya vizuri?

Manake dunia ya sasa hivi kila kitu kiko wazi Youtube ni moja ya Criteria inayo reflect msanii kufanya vizuri hata billboard charts.

Kuna Sportfy,Boombplay,Itunes,Apple,Amazon,Audiomack,Shazam,Tidal,Youtube nk,bado kuna number za shows msanii anazozipata kupitia mapromota mbalimbali,rotation na chart ktk radio mbalimbali ndani na nje ya nchi hivyo vyote ndivyo vinavyo muweka msanii kuwa juu.

Alafu kuwa na kipaji na kufanya vizuri ni vitu viwili tofauti,Ruby ni msanii mwenye kipaji kuliko wote kwa sasa lkn wanaofanya vizuri ni Nandy na Zuchu.Bongo Star Search wanatoa wasanii wenye talent kubwa na Vocal kali lkn hawafanyi vizuri.
 
Hebu tutajie wewe ambaye si mshamba criteria za msanii anayefanya vizuri?

Manake dunia ya sasa hivi kila kitu kiko wazi Youtube ni moja ya Criteria inayo reflect msanii kufanya vizuri hata billboard charts.

Kuna Sportfy,Boombplay,Itunes,Apple,Amazon,Audiomack,Shazam,Tidal,Youtube nk,bado kuna number za shows msanii anazozipata kupitia mapromota mbalimbali hivyo vyote ndivyo vinavyo muweka msanii kuwa juu.

Alafu kuwa na kipaji na kufanya vizuri ni vitu viwili tofauti,Ruby ni msanii mwenye kipaji kuliko wote kwa sasa lkn wanaofanya vizuri ni Nandy na Zuchu.Bongo Star Search wanatoa wasanii wenye talent kubwa na Vocal kali lkn hawafanyi vizuri.
YOU KILL DEM
 
Pole sana mkuu,,kumbe we bado ni mshamba wa kuamini msanii anayefanya vizuri ni yule anayebeba tuzo nyingi na kutrend YouTube??
Pole sana mkuu.
Kwahiyo unataka kuniambia diamond ana kipaji kuliko wasanii wote nchini kwa kuwa ana tuzo nyingi na anaongoza kutrend YouTube??
Mkuu zimo kweli? Kwani unafikiri tuzo zile zinatolewa kwa ajili ya mziki au kwa wakulima wa maharage? Ok kwa dhana ya kipaji haswa cha uimbaji na silabi zake hapo wote hawamo japo ukitaka mmoja miongoni mwao utampata Kiba kutokana na uwezo wake wa sauti na kumudu vema katika muziki halisi wa live band bila kupoteza ubora wa sauti yake, ila muziki ni zaidi ya hayo ndiyo maana ukamkuta Diamond yuko pale juu.
Ukitaka mambo ya vipaji haswa nenda kwa Ruby na kina Rama Dee.
 
Hizo kelele ni za kizamani. Kila mtu afanye kazi zake bila kushindanishwa na mwingine, maana tangu mmeanza kuwashindanisha hatujui mshindi ni nani. Ni upuuzi wa kitoto tu
Camrade pitia pale kwa mama muuza upate mbili za baridi
 
Mkuu zimo kweli? Kwani unafikiri tuzo zile zinatolewa kwa ajili ya mziki au kwa wakulima wa maharage? Ok kwa dhana ya kipaji haswa cha uimbaji na silabi zake hapo wote hawamo japo ukitaka mmoja miongoni mwao utampata Kiba kutokana na uwezo wake wa sauti na kumudu vema katika muziki halisi wa live band bila kupoteza ubora wa sauti yake, ila muziki ni zaidi ya hayo ndiyo maana ukamkuta Diamond yuko pale juu.
Ukitaka mambo ya vipaji haswa nenda kwa Ruby na kina Rama Dee.
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Sitosahau ile siku Dada etu salima alipoenda kusaga mahindi mashinenj.

Akaolewa huko huko tukalala njaa
 
Pole sana mkuu,,kumbe we bado ni mshamba wa kuamini msanii anayefanya vizuri ni yule anayebeba tuzo nyingi na kutrend YouTube??
Pole sana mkuu.
Kwahiyo unataka kuniambia diamond ana kipaji kuliko wasanii wote nchini kwa kuwa ana tuzo nyingi na anaongoza kutrend YouTube??
wewe msanii mzuri unampima kwa kipi?
 
Back
Top Bottom