Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
Pole sana mkuu,,kumbe we bado ni mshamba wa kuamini msanii anayefanya vizuri ni yule anayebeba tuzo nyingi na kutrend YouTube??Kama ni wakati wake si autumie tuone akitawala na kuchukua matuzo makubwa kama hao waliopitwa na wakati? Au kuna anaemzuia! Utalinganisha wimbo wake upi na hata Cheche tu ya Zuchu mtoto wa juzi huko Trending? Hii maneno haipo zaidi mdomoni na kulambana viatu, hii game iko wazi na ina hesabu zake ili ufike pale juu.
Pole sana mkuu.
Kwahiyo unataka kuniambia diamond ana kipaji kuliko wasanii wote nchini kwa kuwa ana tuzo nyingi na anaongoza kutrend YouTube??