Felix King Zaman
Senior Member
- Aug 6, 2016
- 125
- 117
Ipendacho roho ndio Dawa kaka.Wakuu,
Kuna muda unafika maishani inabidi you make right decisions yani namkumbuka Mr Blue zile enzi namuelewa sana. Amepita na mademu wazuri wote Wema, Naj na hata nina uhakika Zari angekuwa hizo siku Blue angemvua. Umewahi jiuliza kwanini blue alimtema NAJ na kumuoa huyu mke wake ambaye ni dem wa kawaida sana.
Kwa nin hakumuoa wema akamuoa wahid?Wakuu,
Kuna muda unafika maishani inabidi you make right decisions yani namkumbuka Mr Blue zile enzi namuelewa sana. Amepita na mademu wazuri wote Wema, Naj na hata nina uhakika Zari angekuwa hizo siku Blue angemvua. Umewahi jiuliza kwanini blue alimtema NAJ na kumuoa huyu mke wake ambaye ni dem wa kawaida sana.
Samahani mkuu.Hivi una elimu gani?Mana tusijekuw tunakulaum bure kwa swali lakoWakuu,