Hivi kwanini Mr Blue alimtema Naj?

Hivi kwanini Mr Blue alimtema Naj?

Felix King Zaman

Senior Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
125
Reaction score
117
Wakuu,

Kuna muda unafika maishani inabidi you make right decisions yani namkumbuka Mr Blue zile enzi namuelewa sana. Amepita na mademu wazuri wote Wema, Naj na hata nina uhakika Zari angekuwa hizo siku Blue angemvua. Umewahi jiuliza kwanini blue alimtema NAJ na kumuoa huyu mke wake ambaye ni dem wa kawaida sana.
 
Mimi nafkiri Mr. Blue akija umu tutapata majibu sahihi kabisa. Ila isiwe kesi, wapo wanaomfaham kwa undani watakuja muda si mrefu.. lakini kwa kipindi iki ebu tuwe watulivu kwanza
 
Huu si muda wa kujadili kesi za manji na mo tufanye kazi, sasa hizo personal issue za watu hata kama tukijadil kwan ndo atamrudia huyo aliyemuacha
 
Kuna tofaut kat ya wife material na beautiful lover
 
Wakuu,

Kuna muda unafika maishani inabidi you make right decisions yani namkumbuka Mr Blue zile enzi namuelewa sana. Amepita na mademu wazuri wote Wema, Naj na hata nina uhakika Zari angekuwa hizo siku Blue angemvua. Umewahi jiuliza kwanini blue alimtema NAJ na kumuoa huyu mke wake ambaye ni dem wa kawaida sana.
Ipendacho roho ndio Dawa kaka.
 
Kwa sababu ya Wahida... Haya kafanye kazi sasa..... Ndorobo!
 
Wakuu,

Kuna muda unafika maishani inabidi you make right decisions yani namkumbuka Mr Blue zile enzi namuelewa sana. Amepita na mademu wazuri wote Wema, Naj na hata nina uhakika Zari angekuwa hizo siku Blue angemvua. Umewahi jiuliza kwanini blue alimtema NAJ na kumuoa huyu mke wake ambaye ni dem wa kawaida sana.
Kwa nin hakumuoa wema akamuoa wahid?
 
Asilimia kubwa ya wanaume wanaoa wanawake wa kawaida sana ,
Hata hivyo Wahida mtoto wa Ilala sio wa kawaida kihivyo
 
Wakuu,

Kuna muda unafika maishani inabidi you make right decisions yani namkumbuka Mr Blue zile enzi namuelewa sana. Amepita na mademu wazuri wote Wema, Naj na hata nina uhakika Zari angekuwa hizo siku Blue angemvua. Umewahi jiuliza kwanini blue alimtema NAJ na kumuoa huyu mke wake ambaye ni dem wa kawaida sana.
Samahani mkuu.Hivi una elimu gani?Mana tusijekuw tunakulaum bure kwa swali lako
 
Ww unamuona kabisa Naj mcharuko ukiona yule umeolea mtaa mzima au unadhani kila demu mzuri anafaa kuoa
 
Ni vijana wa dar tu ndio huwa wanawaza haya...!!!???
 
Back
Top Bottom