Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Mar 11, 2025 #1 Wana jamvi kidogo mnaweza kukusaidia hili. Kwanini mtoto akizaliwa wanasema lazima alie. Umewahi kujiuliza kwanini asicheke? Ama anamaanisha ameingia kwenye Dunia ya tabu shida na dhiki kubwa. Msaada Please!
Wana jamvi kidogo mnaweza kukusaidia hili. Kwanini mtoto akizaliwa wanasema lazima alie. Umewahi kujiuliza kwanini asicheke? Ama anamaanisha ameingia kwenye Dunia ya tabu shida na dhiki kubwa. Msaada Please!
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Mar 11, 2025 #2 Chawacray is an devastating disaster in this country.
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Mar 11, 2025 #3 wangecheka pia ungeuliza why wacheke na wasilie Tafuta hela
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Mar 11, 2025 #4 Yani acheke..🤣 life is not that easy mkuu!, wanalia na life bado haliwaonei huruma ingekuwa tunacheka life ndo lingezidi kuwa gumu maana lingeona hawa makomamanga wanazarau kinyama!
Yani acheke..🤣 life is not that easy mkuu!, wanalia na life bado haliwaonei huruma ingekuwa tunacheka life ndo lingezidi kuwa gumu maana lingeona hawa makomamanga wanazarau kinyama!
S Sitanii Senior Member Joined Nov 20, 2024 Posts 160 Reaction score 215 Mar 11, 2025 #5 Atoe wapi kicheko na dunia ngumu hii mkuu tena usikute anatua Tz weee, nachekaje yaani?
S Sitanii Senior Member Joined Nov 20, 2024 Posts 160 Reaction score 215 Mar 11, 2025 #6 Kuna sababu ya kibaiolojia kuhusiana na presha ya mwili wa kichanga na mazingira ya nje. Ndiyo mwili hutoa mwitikio ule ili diaframu zifanyeje sijui..., Sikumbuki vizuri, experts on the way
Kuna sababu ya kibaiolojia kuhusiana na presha ya mwili wa kichanga na mazingira ya nje. Ndiyo mwili hutoa mwitikio ule ili diaframu zifanyeje sijui..., Sikumbuki vizuri, experts on the way
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 Mar 11, 2025 #7 Analia kwa kuwa anajua chama kilichopo madarakani ccm ni janga
Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 1,056 Reaction score 2,118 Mar 11, 2025 #8 Mtoa mada analia kaja dunian kutumikia dhambi za Adam na Eva💔