Hivi kwanini mtoto akizaliwa analia asicheke?

Hivi kwanini mtoto akizaliwa analia asicheke?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wana jamvi kidogo mnaweza kukusaidia hili. Kwanini mtoto akizaliwa wanasema lazima alie. Umewahi kujiuliza kwanini asicheke?

Ama anamaanisha ameingia kwenye Dunia ya tabu shida na dhiki kubwa.

Msaada Please!
 
Yani acheke..🤣
life is not that easy mkuu!, wanalia na life bado haliwaonei huruma ingekuwa tunacheka life ndo lingezidi kuwa gumu maana lingeona hawa makomamanga wanazarau kinyama!
 
Kuna sababu ya kibaiolojia kuhusiana na presha ya mwili wa kichanga na mazingira ya nje.

Ndiyo mwili hutoa mwitikio ule ili diaframu zifanyeje sijui...,

Sikumbuki vizuri, experts on the way
 
Back
Top Bottom