Mkuu kitabu kipi cha sayansi hicho kilicho confess uwepo au kazi ya Mungu katika hilo? Nitajie na ukurasa tafadhali, kama itapendeza.Ni kitendo ambacho Mwenyezi Mungu amekiweka
kwamba kisayansi mtoto akizaliwa anatakiwa alie kilio cha kwanza ndicho kinachotanua mapafu ambayo yanamwezesha mtoto aweze kupumua
unaweza check na daktari kuthibutisha hili
na ndio maana leba kama mtoto hajalia madaktari na manesi wanahangaika kweli
nikifikiria hapo ndipo nakiri kuwa Mwenyezi Mungu ni one of his kind
Sinaga haja ya kubishana na watu ambao wanajaribu kupinga Uwepo wa Mungu kisa tu umesoma vitabu vya wamagharibiMkuu kitabu kipi cha sayansi hicho kilicho confess uwepo au kazi ya Mungu katika hilo? Nitajie na ukurasa tafadhali, kama itapendeza.
Angemuuliza mtoto anayelia ndio mwenye majibu sahihiMimi sijawahi kuingia leba ko sijui mwaya!
Sasa wewe kama uliingia si ungemuuliza mkunga wako ama kama wewe ni mwanamume umeyajuaje ya huko kama si daktar?
Mkuu ulichoandika usitake nikifananishe na povu.Sinaga haja ya kubishana na watu ambao wanajaribu kupinga Uwepo wa Mungu kisa tu umesoma vitabu vya wamagharibi
Akili ya binadamu ni kama computer files ambazo zinaingizwa ndizo computer zinahifadhi.. siwezi kukulazimisha ukubali kuwa sio kazi ya Mungu kwa saba u umagharibi umekutawala sio tatizo lako kwa sababu umesoma sana vitabu vyao
Akili nyingi huondoa maarifa umesahau kuwa moja ya mataifa yaliyokuwa civilized duniani ni pamoja na Egypt ambao wao pamoja na kuuacha umbumbumbu miaka hiyo walimwamini Mungu..
Lakini kuna mtu aliwahi kuniambia mtu ambaye anaamini kuwa hakuna mungu na mungu hana thamani kwake kwa kila kitu ni kwamba hajapata na mkasa wowote wa kimaisha ukipigwa mapigo matakatifu ya kimaisha utamtafuta Mwenyezi Mungu alipo na utayajua makanisa yote
Lazima alie kuonyesha uhai kwani asipolia ina maana ni mfu au kuna tatizo. Kitendo cha kulia kinafanya hewa izunguke hadi kwenye ubongo hivyo mtoto ataluwa a normal kid. Asipolia anaweza kua na mtindio wa ubongo maana hewa haitafika kwenye ubongo. Hiki ni kidogo tu ninachojua. Wataalam wataongezea au watasahihisha kama nimekosea.Poleni kwa kinachoendelea wakuu na harakati za kubomolewa na changamoto za hapa na pale..
Hisika na title hapo juu nimekaa nikajiuliza nikakosa jibu nimeona nililete kwenu angalau niridhike maana humu jf naamini kuna zaidi ya vichwa.
Hivi ni kwa nini mama mjamzito akishajifungu kile kichanga kikitoka nje pale pale huangua kilio?
Mkuu sio lazma uingie leba hata ni kitu kinachofaahamika hata ukiwauliza wazazi watakuambiaMimi sijawahi kuingia leba ko sijui mwaya!
Sasa wewe kama uliingia si ungemuuliza mkunga wako ama kama wewe ni mwanamume umeyajuaje ya huko kama si daktar?
Majibu mengine yanaonyesha Low Thinking Capacity ya mtu kama sio stress. Unaweza pita kimya kimya kuliko kujizalawulishaAngemuuliza mtoto anayelia ndio mwenye majibu sahihi
Jibu la kisayansi hiliKwasababu akiwa ndani mazingira ni tofauti na ya nje. Pia akiwa anapumua kwa mara ya kwanza kusikia maumivu kwajili ya kutanua kwa mapafu, ndicho kijacho msababisha alie
Baridi Kali sana nje ya tumbo la mama inamfanya alie sanaPoleni kwa kinachoendelea wakuu na harakati za kubomolewa na changamoto za hapa na pale..
Hisika na title hapo juu nimekaa nikajiuliza nikakosa jibu nimeona nililete kwenu angalau niridhike maana humu jf naamini kuna zaidi ya vichwa.
Hivi ni kwa nini mama mjamzito akishajifungu kile kichanga kikitoka nje pale pale huangua kilio?
Aliekudanganya mtoto mchanga huwa analia ni nani?Analia kwa sababu ameigia kwenye mateso Dunia ni sehem ya shida na kamwe hakuna FURAHA zaidi na Neno FURAHA tuu.
Excellent... ningekuwa karibu na ww ungekula balimi 5 baridiAkiwa ndani kila kitu anafanyiwa na mama kuanzia chakula mpaka hewa. Sasa akishatoka nje inabidi aanze kujitegemea na kitu cha kwanza huwa ni kuvuta hewa kunakosababisha mapafu kusinyaa na kutanuka. Ndio maana kanalia.
Ingawa sipo sahihi but najua nipo kariibu na ukweli.