Hivi kwanini mtoto mchanga akizaliwa kitendo cha kutoka pale mlangoni hulia kwa nguvu

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Poleni kwa kinachoendelea wakuu na harakati za kubomolewa na changamoto za hapa na pale..
Hisika na title hapo juu nimekaa nikajiuliza nikakosa jibu nimeona nililete kwenu angalau niridhike maana humu jf naamini kuna zaidi ya vichwa.
Hivi ni kwa nini mama mjamzito akishajifungu kile kichanga kikitoka nje pale pale huangua kilio?
 
Mimi sijawahi kuingia leba ko sijui mwaya!

Sasa wewe kama uliingia si ungemuuliza mkunga wako ama kama wewe ni mwanamume umeyajuaje ya huko kama si daktar?
 
Ni kitendo ambacho Mwenyezi Mungu amekiweka
kwamba kisayansi mtoto akizaliwa anatakiwa alie kilio cha kwanza ndicho kinachotanua mapafu ambayo yanamwezesha mtoto aweze kupumua

unaweza check na daktari kuthibutisha hili

na ndio maana leba kama mtoto hajalia madaktari na manesi wanahangaika kweli

nikifikiria hapo ndipo nakiri kuwa Mwenyezi Mungu ni one of his kind
 
Mkuu kitabu kipi cha sayansi hicho kilicho confess uwepo au kazi ya Mungu katika hilo? Nitajie na ukurasa tafadhali, kama itapendeza.
 
Sinaga haja ya kubishana na watu ambao wanajaribu kupinga Uwepo wa Mungu kisa tu umesoma vitabu vya wamagharibi

Akili ya binadamu ni kama computer files ambazo zinaingizwa ndizo computer zinahifadhi.. siwezi kukulazimisha ukubali kuwa sio kazi ya Mungu kwa saba u umagharibi umekutawala sio tatizo lako kwa sababu umesoma sana vitabu vyao

Akili nyingi huondoa maarifa umesahau kuwa moja ya mataifa yaliyokuwa civilized duniani ni pamoja na Egypt ambao wao pamoja na kuuacha umbumbumbu miaka hiyo walimwamini Mungu..

Lakini kuna mtu aliwahi kuniambia mtu ambaye anaamini kuwa hakuna mungu na mungu hana thamani kwake kwa kila kitu ni kwamba hajapata na mkasa wowote wa kimaisha ukipigwa mapigo matakatifu ya kimaisha utamtafuta Mwenyezi Mungu alipo na utayajua makanisa yote
 
Mimi sijawahi kuingia leba ko sijui mwaya!

Sasa wewe kama uliingia si ungemuuliza mkunga wako ama kama wewe ni mwanamume umeyajuaje ya huko kama si daktar?
Angemuuliza mtoto anayelia ndio mwenye majibu sahihi
 
Mkuu ulichoandika usitake nikifananishe na povu.
Mi sijasema siamini katika uwepo wa Mungu, shaka yangu ni jinsi unavyolazimisha kuwaaminisha wanasayansi kuwa kuna Mungu wakati toka wameanza kuandika vitabu vyao katika kuthibitisha majaribio yao hakuna sehemu wanakili kuwa hiki kimefanyika kwa uwezo wa Mungu (rejea sentensi yako ya kwanza na pili katika comment yako). Zaidi nimesikitika huyo mungu wako ulivyomtaja kwa herufi ndogo labda kama ni miongoni wa wale mungu waliokuwa wanabishana na Eliya.
 
Poleni kwa kinachoendelea wakuu na harakati za kubomolewa na changamoto za hapa na pale..
Hisika na title hapo juu nimekaa nikajiuliza nikakosa jibu nimeona nililete kwenu angalau niridhike maana humu jf naamini kuna zaidi ya vichwa.
Hivi ni kwa nini mama mjamzito akishajifungu kile kichanga kikitoka nje pale pale huangua kilio?
Lazima alie kuonyesha uhai kwani asipolia ina maana ni mfu au kuna tatizo. Kitendo cha kulia kinafanya hewa izunguke hadi kwenye ubongo hivyo mtoto ataluwa a normal kid. Asipolia anaweza kua na mtindio wa ubongo maana hewa haitafika kwenye ubongo. Hiki ni kidogo tu ninachojua. Wataalam wataongezea au watasahihisha kama nimekosea.
 
Mimi sijawahi kuingia leba ko sijui mwaya!

Sasa wewe kama uliingia si ungemuuliza mkunga wako ama kama wewe ni mwanamume umeyajuaje ya huko kama si daktar?
Mkuu sio lazma uingie leba hata ni kitu kinachofaahamika hata ukiwauliza wazazi watakuambia
 
Kwasababu akiwa ndani mazingira ni tofauti na ya nje. Pia akiwa anapumua kwa mara ya kwanza kusikia maumivu kwajili ya kutanua kwa mapafu, ndicho kijacho msababisha alie
 
Mtoto asipolia anakua ni chizi (mtindio wa ubongo)...nilimskia Dr. Bingwa Mmoja wa Watoto kwenye kipindi cha Afya ya Jamii ITV
 
Poleni kwa kinachoendelea wakuu na harakati za kubomolewa na changamoto za hapa na pale..
Hisika na title hapo juu nimekaa nikajiuliza nikakosa jibu nimeona nililete kwenu angalau niridhike maana humu jf naamini kuna zaidi ya vichwa.
Hivi ni kwa nini mama mjamzito akishajifungu kile kichanga kikitoka nje pale pale huangua kilio?
Baridi Kali sana nje ya tumbo la mama inamfanya alie sana
 
Akiwa ndani kila kitu anafanyiwa na mama kuanzia chakula mpaka hewa. Sasa akishatoka nje inabidi aanze kujitegemea na kitu cha kwanza huwa ni kuvuta hewa kunakosababisha mapafu kusinyaa na kutanuka. Ndio maana kanalia.
Ingawa sipo sahihi but najua nipo kariibu na ukweli.
Excellent... ningekuwa karibu na ww ungekula balimi 5 baridi
 
Back
Top Bottom