Hivi kwanini mtoto mchanga akizaliwa kitendo cha kutoka pale mlangoni hulia kwa nguvu

Kwasababu akiwa ndani mazingira ni tofauti na ya nje. Pia akiwa anapumua kwa mara ya kwanza kusikia maumivu kwajili ya kutanua kwa mapafu, ndicho kijacho msababisha alie
At least umekuja na jibu lenye mashiko na kwakuongezea tu wakati mtoto anatoka(hapa nazungumzia njia ya kawaida sijui kuhusu operation) pale kunanguvu inatumika kumsukuma mtoto nje so ile force ya kupita kwenye njia ndogo hupelekea maumivu ndiyo maana hulia akishazaliwa Mimi najua hivyo
 
Mi nadhan ni kanuni ya kimaumbile kwani kulia kwa mtoto ndio furaha ya mama na wakunga kuwa mtoto yu hai so its cry is a notification of its livelihood....asipolia huwa ni shida na huisiwa mtoto aidha ni bubu au ni mfu.... Hivi ndo nijuavyo
 
Hata azaliwe kwa njia gani kulia muhimu
 
Hata kama ni operation. Mtoto lazima alie. Ata wakwangu ni operation lakini kutanua kwa mapafu kuko pale pale. Pia kupitia njia ndogo hakumuumizi mtoto kwajili ya yale maji yanateleza mno. Njia ndogo maumivu yanamuhusu tu mama. Yani ndo uchungu wenyewe. Kupiga yowe la hatari wakati mtoto anatoka lakini kwa mtoto ni baada ya kutoka nje ndo anasikia maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…