shamajengo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,217
- 1,432
At least umekuja na jibu lenye mashiko na kwakuongezea tu wakati mtoto anatoka(hapa nazungumzia njia ya kawaida sijui kuhusu operation) pale kunanguvu inatumika kumsukuma mtoto nje so ile force ya kupita kwenye njia ndogo hupelekea maumivu ndiyo maana hulia akishazaliwa Mimi najua hivyoKwasababu akiwa ndani mazingira ni tofauti na ya nje. Pia akiwa anapumua kwa mara ya kwanza kusikia maumivu kwajili ya kutanua kwa mapafu, ndicho kijacho msababisha alie