rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
Ukishaweka neno lazima kuwe na source ya binadam basi ni lazima uiweke pia hiyo source kwa munguNaona bado haunielewi. Ebu tuliza akili yako na usije kwa lengo la kubishana bali kujifunza. Haihitaji akili za kimungu kujua na kutambua kwamba hatukujiumba tu wenyewe au we just existed from nowhere! Lazima kulikuwa na source.Hilo halihitaji akili za ziada lipo katika frame ya kibinadamu na muhimu zaidi yeye aliyeziprogram akili zetu aliweka hilo kwa makusudi!. Kuthibitisha hilo wala halihitaji nguvu kubwa! Uwepo wako na ulimwengu unatosha kuthibitisha hilo!
Kujifunza ni nini?Naona bado haunielewi. Ebu tuliza akili yako na usije kwa lengo la kubishana bali kujifunza.
Dunia haikuumbwa.Haihitaji akili za kimungu kujua na kutambua kwamba hatukujiumba tu wenyewe au we just existed from nowhere! Lazima kulikuwa na source.Hilo halihitaji akili za ziada lipo katika frame ya kibinadamu na muhimu zaidi yeye aliyeziprogram akili zetu aliweka hilo kwa makusudi!. Kuthibitisha hilo wala halihitaji nguvu kubwa! Uwepo wako na ulimwengu unatosha kuthibitisha hilo!
Hapa umejizungusha na kurefusha maneno tu.Kabla rip faza_nelly hujaniuliza swali, hukuwepo. Hukuexist, sikufahamu lolote kuhusu wewe, sikukuzungumza, sikukufahamu, sikukufikiria. In short hukuwepo kwenye ulimwengu wangu wowote, si wa kiroho si wa kifikra si halisi.
Ukisema hakipo maana yake ndo hiyo.
Kabisa mkuu.Ukishaweka neno lazima kuwe na source ya binadam basi ni lazima uiweke pia hiyo source kwa mungu
Kiuhalisia Sifa zimegawanyika kwa makundi tofauti.
Kuna Sifa za ukamilifu na Sifa ambazo si ukamilifu.
Mfano wa sifa za ukamilifu kwa Mungu ni Upole,Huruma,Wivu,Ukali wa kuadhibu,Kulipiza kisasi,Nguvu, Kusikia,Kujua,Kuumba,Kuanzisha,Kuhuisha,kufisha n.k
Pia kuna sifa ambazo si za ukamilifu,hizi ni sifa ambazo hazimfai Mungu na hazipaswi kunasibishwa nae...mfano kula,kuzaa,kuzaliwa,kusaidiwa,kufa,kuchoka,kuzidiwa,kuumwa ,kulala ,kusinzia n.k
Ila mkuu chanzo cha Mungu ni mwanadamu bila mwanadamu kuwepo hii nadharia isingekuwepo, kwahiyo ni vizuri tukisema apo mwanzo mwanadamu akamuumba Mungu.Kabisa mkuu.
Watu wana mtoa Mungu kwenye mzani huu wa kuwa na source halafu wanalazimisha binadamu na dunia viwe na source.
Ukiwa uliza source ya Mungu ni nini?
Wana rukaruka tu.
Kiroho? Roho ni nini kwanza kabla hujaleta huo uthibitisho wa kufikirika ?Uthibitisho kwenye nyanja ipi? Ya kisayansi au ya kiroho?
Kabla hujasema kitu hakipo kwanza tafsiri maana ya kutokuwepo.Hapa umejizungusha na kurefusha maneno tu.
Umesema mtu ni mnyama, mimi nasema ni kweli lakini mnyama hawezi kuwa mtu.kuwa specific, utofauti katika nini?
Nitatoa mfano wa imani ya ukristo, unapoambiwa MUNGU ni roho unaelewa nini?Kiroho? Roho ni nini kwanza kabla hujaleta huo uthibitisho wa kufikirika ?
Kuna viumbe waliotangulia kuwepo kabla ya mwanadamu...kuna malaika,majini, wanyama,wadudu na mimea.Ila mkuu chanzo cha Mungu ni mwanadamu bila mwanadamu kuwepo hii nadharia isingekuwepo, kwahiyo ni vizuri tukisema apo mwanzo mwanadamu akamuumba Mungu.
Nawaambia ila hawaelewi.Ila mkuu chanzo cha Mungu ni mwanadamu bila mwanadamu kuwepo hii nadharia isingekuwepo, kwahiyo ni vizuri tukisema apo mwanzo mwanadamu akamuumba Mungu.
Bado haupo sahihi. Rudia tenaKuamini/kukubali bila kuwa na uhakika
Kabla hujasema kitu hakipo kwanza tafsiri maana ya kutokuwepo.
Umesema mtu ni mnyama, mimi nasema ni kweli lakini mnyama hawezi kuwa mtu.
Kwa mtazamo wangu kinachomtofautisha mtu na wanayama/mimea ni maono(vision). Mtu anaongozwa na maono ila mnyama anaongozwa na hisia za ufahamu(instinct).
Unachanganya vitu vinavyothibitika na adakadabra za bwana abunuasi .Kuna viumbe waliotangulia kuwepo kabla ya mwanadamu...kuna malaika,majini, wanyama,wadudu na mimea.
Mwanadamu ni kiumbe wa mwisho kuumbwa.
Nimekwambia haihitaji akili za Kimungu nikimaanisha hata kwa akili yako yako ta kibinadamu unaweza kutambua hilo kwa kuwa lipo katika dimension yako! Sasa unapouliza kuhusu Mungu hiyo ni dimension tofauti ambayo kwa akili zangu haiwezi kuwa na majibu.Umetumia kanuni gani apo unaposema lazima kuwe na chanzo ,na hiyo kanuni wakati huo huo inakataa Mungu kuwa na chanzo , hauoni apo ni kama kufunika kombe mwanaharamu apite?
Bro mbona maneno mengi nmeuliza roho ni nini, kama una jibu nipe kama hauna pia semaNitatoa mfano wa imani ya ukristo, unapoambiwa MUNGU ni roho unaelewa nini? Kama ulikuwa huelewi kwanini unajadili jambo usilolielewa? Kama unaelewa kwanini unaniuliza?
Unarudi kule kule tena boss, Vinavyothibitika wapi?Unachanganya vitu vinavyothibitika na adakadabra za bwana abunuasi .
Sio kila ambacho huwezi kukithibitisha kwa elimu yako ndogo ndio ukane uwepo wake.Unachanganya vitu vinavyothibitika na adakadabra za bwana abunuasi .
Aise naona unakuwa mgumu sana kuelewa. Akili zako wewe ni tofauti sana na akili za Mungu! Ni dimensions mbili tofauti kabisa.Sasa usilazimishe uelewa na ufahamu wako uhoji kuhusu uwezo na akili za Mungu.Ukishaweka neno lazima kuwe na source ya binadam basi ni lazima uiweke pia hiyo source kwa mungu
Haina hajaBado haupo sahihi. Rudia tena