rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
Kwani mungu ana akili?Aise naona unakuwa mgumu sana kuelewa. Akili zako wewe ni tofauti sana na akili za Mungu! Ni dimensions mbili tofauti kabisa.Sasa usilazimishe uelewa na ufahamu wako uhoji kuhusu uwezo na akili za Mungu.
Wenye imani yao wanakwambia MUNGU ni roho, wewe hujui roho ni nini, hapo hapo unasema MUNGU hayupo. Fikiria boss. Mambo mepesi haya ukifikiri.Bro mbona maneno mengi nmeuliza roho ni nini, kama una jibu nipe kama hauna pia sema
Unahoji hivyo kama nani?Kujifunza ni nini?
Naku uliza hivi, Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na source yake.
Source ya Mungu ni nini?
Kwa nini umu exclude Mungu kwenye kuwa na source?
Huyo Mungu aliwezaje kuwepo from no where?
Dunia haikuumbwa.
Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Kama haiwezekani dunia kuwepo yenyewe tu, Hata Mungu huyo haiwezekani awepo mwenyewe tu from nothing.
Otherwise, Si lazima kwamba tuliumbwa.
Kama ulazima huo upo, hata huyo Mungu lazima awe ameumbwa.
Nakuambia hivi hakuna Mungu ,kama yupo thibitisha na hiyo dimension unayoijua wwe huyo Mungu yupo, umeijuaje kama akili zako hazina majibu?Nimekwambia haihitaji akili za Kimungu nikimaanisha hata kwa akili yako yako ta kibinadamu unaweza kutambua hilo kwa kuwa lipo katika dimension yako! Sasa unapouliza kuhusu Mungu hiyo ni dimension tofauti ambayo kwa akili zangu haiwezi kuwa na majibu.
Nimemjibu wa juu mkuu , hyo yangu na wewe tuweke kiporo kwanza.Unarudi kule kule tena boss, Vinavyothibitika wapi?
Ok boss.Nimemjibu wa juu mkuu , hyo yangu na wewe tuweke kiporo kwanza.
Una uthibitisho gani na hili kwamba binadamu ana maono na mnyama hana? Kuhusu hisia, hakuna kiumbe hai kisichotumia hisia.Umesema mtu ni mnyama, mimi nasema ni kweli lakini mnyama hawezi kuwa mtu.
Kwa mtazamo wangu kinachomtofautisha mtu na wanayama/mimea ni maono(vision). Mtu anaongozwa na maono ila mnyama anaongozwa na hisia za ufahamu(instinct).
Mungu muweza wa yote alie shindwa kuseti binadamu asimkosee , aliyeshindwa kuweka usawa kwa vitu alivyoviumba mwenyewe ,then vikienda tofauti ana kasirika na kuwa na wivu na kupaniki, Mungu huyo wala haihitaji akili hata ya panya kuthibitisha kwamba hayupo.Sio kila ambacho huwezi kukithibitisha kwa elimu yako ndogo ndio ukane uwepo wake.
Bado hujajibu swali chiefWenye imani yao wanakwambia MUNGU ni roho, wewe hujui roho ni nini, hapo hapo unasema MUNGU hayupo. Fikiria boss. Mambo mepesi haya ukifikiri.
Kila kiumbe kina maono kulingana na mazingira yake, hakuna kiumbe bora kuliko kingne wala hakuna kiumbe kinachotawala mwingne bali viumbe vyote vinategemeana.Una uthibitisho gani na hili kwamba binadamu ana maono na mnyama hana? Kuhusu hisia, hakuna kiumbe hai kisichotumia hisia.
Na mimi nikakujibu hauna akili kama unazo thibitisha! Nani kasema akili yangu haina majibu! Akili yangu ina majibu kwamba yupo na ndiye aliyegawanya bahari ya sham waisraeli wakavuka, Ndiye aliyezungumza na Musa pale mlimani, na ndiye aliyeprogram akili zangu zitambue uwepo wake! Sasa unapouliza nihoji kuhusu akili zake ni sawa na wewe utengeneze toy uifungie chumbani alafu toy ijaribu kuhoji kuhusu akili yako!Nakuambia hivi hakuna Mungu ,kama yupo thibitisha na hiyo dimension unayoijua wwe huyo Mungu yupo, umeijuaje kama akili zako hazina majibu?
What is akili? Hilo unalijua wewe binadamu uliyeprogramiwa na kuwekewa! Hilo lipo kwenye dimensions zako.Unajua options zingine zilizopo? Kaa kwa kutulia, huwezi kuhoji mapana ya Mungu.Kwani mungu ana akili?
"Jibu ni roho ni MUNGU, nao wamuabudio wamuabudu katika roho."Bado hujajibu swali chief
Hayo ni mahubiri kutokea kitabu uchwara. Hayana ukweli wowote, kama unakataa thibitisha huo ukweli.Na mimi nikakujibu hauna akili kama unazo thibitisha! Nani kasema akili yangu haina majibu! Akili yangu ina majibu kwamba yupo na ndiye aliyegawanya bahari ya sham waisraeli wakavuka, Ndiye aliyezungumza na Musa pale mlimani, na ndiye aliyeprogram akili zangu zitambue uwepo wake! Sasa unapouliza nihoji kuhusu akili zake ni sawa na wewe utengeneze toy uifungie chumbani alafu toy ijaribu kuhoji kuhusu akili yako!
Ulimwengu wa fact unatumia logic na kanuni za kisayansi, ambazo zinakataa uwepo wa mungu. Hizo fact za uwepo wa mungu unazozisema hebu zilete."Jibu ni roho ni MUNGU, nao wamuabudio wamuabudu katika roho."
Sentensi kama hiyo ukiielewa hutateseka na kuhoji uwepo wa MUNGU kwa waamini. Imejitosheleza.
Huwezi ona roho, huwezi gusa roho, huwezi thibitisha uwepo wa roho katika ulimwengu nje ya ulimwengu wa kiroho au ulimwengu wa kisayansi. Ili umuelewe MUNGU lazima uhame kwenye ulimwengu wa fact.
Ungeanza kunithibitishia wewe kama una akili ingekuwa vizuri sanaHayo ni mahubiri kutokea kitabu uchwara. Hayana ukweli wowote, kama unakataa thibitisha huo ukweli.
Hoja inaishia hapa.Ni sawa na wewe na mke wako then aanzishe uhusiano uliosawa na wa kwako kwa mwanaume mwingine.
Tafsiri utayoipata moyoni mwako ndio hiyo iliyomaanishwa kwenye hayo maandiko, halafu upime mwenyewe kama ni sawa au si sawa.
yako hayo sasaNow dayz kumekuwa na aliens wengi sana wanaotembea kama binadam tumesoma nao tunaish nao pia wengine tuna zaa nao na wengi humu hawajijui kama wao ni zao la aliens cos wakijianglia wanajiona binadam kumbe sio
Utawajua kwa tabia na matukio Ru
1..wanapinga uwepo wa Mungu
2..wanapenda kushindana na binadamu
3..hujifanya wajuaji
4..wanaasiraaa na wivu
5..wachafu kwenye ngono)bisexual
Unaamini usicho kijua na ambacho hakipo , ila mkuu sio mbaya kwa sababu ni haki yako kuamini chochote wewe toy wa Mungu.Na mimi nikakujibu hauna akili kama unazo thibitisha! Nani kasema akili yangu haina majibu! Akili yangu ina majibu kwamba yupo na ndiye aliyegawanya bahari ya sham waisraeli wakavuka, Ndiye aliyezungumza na Musa pale mlimani, na ndiye aliyeprogram akili zangu zitambue uwepo wake! Sasa unapouliza nihoji kuhusu akili zake ni sawa na wewe utengeneze toy uifungie chumbani alafu toy ijaribu kuhoji kuhusu akili yako!