Una vijiswali vya kitoto sna master eti wewe umetoka wap😁😁Wewe umetoka wapi?
Mbona unaruka ruka kama maharage yanayoiva.Nimekuuliza unazijua kanuni za Physics, unaijua special theory of relativity? Unaijua space-time continuum? Unaijua cause and effect theory?Physics ipi ambayo hauwezi gundua ata pini mkuu, sawa kila kitu lazima kiwe na chanzo , chanzo cha Mungu ni kipi?
Tatizo lako mkuu umekaza fuvu,Unachanganya vitu vinavyothibitika na adakadabra za bwana abunuasi .
Mtu anahisia na maono(uwezo wa kuchakata mawazo), mnyama hana huo uwezo wa kuchakata mawazo.Una uthibitisho gani na hili kwamba binadamu ana maono na mnyama hana? Kuhusu hisia, hakuna kiumbe hai kisichotumia hisia.
Mkuu imani za Mungu ni SHAMBULIO la akiliHizi story za babeli ni upuuzi mtupu, inawezekana ndio watu walijenga lakini kusema walitaka kwenda kwa Mungu ni ujinga na upumbavu mkuu. Na kuamini Mumgu aliwapiga Lugha tofauti wasimfikie ni uzwazwa. Hebu fikiria kati ya mnara wa babeli na Space Rocket kipi kinaenda mbali mawinguni, kama mnara wa babeli ulikuwa tishio kwa MUngu iweje hizi rocket kaziacha au alihamia mbali na alipokuwa anaishi zamani. Uliwahi kujiuliza kabla mzungu hajagundua ziwa Viktoria watu wa Mwanza na huko Kenya na UGanda walikuwa hawajui kama lipo?
😂😂😂Una vijiswali vya kitoto sna master eti wewe umetoka wap😁😁
Halafu unakuta mtu amekomaa as if science ni absolutely.Hata kufika tu hapo kwenye nyota ya karibu kabisa hakuna aliyewahi😄
Ana wivu sana hasa pale unapoabudu sanamu[miungu mingine] ambapo dini za kisasa ukiwambia wana abudu sanamu wanasema WANAHESHIMU SANAMU.Wataalamu wa bibilia, nakumbuka kuna siku nilisoma hicho kitabu nikaona historia ya mnara wa babeli Mungu aliposhuka na kuwakuta binadamu wanatengeza ule mnara alishtuka na kuwatenganisha kwa lugha pamoja na maeneo ndiyo yakazaliwa mataifa mengine.
Tukio la pili kwenye sura ya mwanzo Mungu baada ya adamu kula ule mti ambao alikatazwa inaonekana ibilisi alikuwa anajua siri ya mti huo wa uzima japo hakuufahamu haswa ni upi ila baada ya Mungu kuona binadamu na jeshi lake watapanga kuutafuta ndiyo akauficha, nimesahau exactly ni wapi.
Case ya tatu, baada ya kuwatoa Wanaisraeli kupitia Mtume wake Musa aliwaambia kuwa yeye ni Mungu mkuu na anawivu hivyo wasiabudu mwengine isipoikuwa yeye.
Je, kwa kauli ya kusema kuna miungu mengine anafahamu kuwa kuna nguvu nyengine tofauti na yeye?
Je, hajiamini na nguvu zake?
Je, Mungu huyu ni tunayemuabudia wakristo na waislamu?
Je, ni binadamu wa mwanzo ambaye aliwahi kutambua siri za ulimwengu na akajitahidi kuzificha na hatimaye akajitolea taji la uungu?
Nawasilisha.
Unajua kuna vitu ambavyo wala haukupaswa kuhoji mpaka vinaleta wasiwasi kwamba elimu yako ni kiasi gani? Maana kwa mtu muelewa kabisa anaweza kutambua na kuona mambo yaliyo dhahiri kabisa, kwa hiyo naomba unijibuUna vijiswali vya kitoto sna master eti wewe umetoka wap😁😁
Umejuaje hana uwezo huo coz nipo na mbwa wangu anajua kila kitu nilichomfundisha.Tatizo lako mkuu umekaza fuvu,
Mtu anahisia na maono(uwezo wa kuchakata mawazo), mnyama hana huo uwezo wa kuchakata mawazo.
Uthibitisho ni hivi tunavyopishana kutoa hoja lengo likiwa ni kupata majibu. Mnyama hana huo uwezo.
Hiyo process ya reproduction na kanuni za kibayolojia zilizoset in motion mpaka ukawepo unadhani zilitokea kwa bahati mbaya au kuna force behind?Baba na Mama yangu walifanya yao nikapatikana mimi kupitia Mama yangu
Hilo swali namuulizaga mwanangu mdgo mkuu,siwezi kupata ujasiri wa kumuuliza mtu mzima eti wewe umetoka wap ebu vuta picha kwa akili ya kawaida tu.Unajua kuna vitu ambavyo wala haukupaswa kuhoji mpaka vinaleta wasiwasi kwamba elimu yako ni kiasi gani? Maana kwa mtu muelewa kabisa anaweza kutambua na kuona mambo yaliyo dhahiri kabisa, kwa hiyo naomba unijibu
Sasa twende kwenye concept yako ya kutokuwepo kwamba ni kinyume cha kuwepo. Unamaanisha kutokuwepo ni kutokuwa na matokeo katika maisha yaani kiutendaji, kifikra wala hisia. sahihi?Okay, endelea
Nyingi sana! Lakini haziwezi hata kumkaribia yule aliyenipatia 😄Tufanye Hana akili, vipi wewe unazo?
Sawa. Na mimi kama sina akili, hilo nalo litazidi kuthibitisha Mungu hayupo.Wewe mwenyewe hauna akili wala haujawahi kuwa nayo! Hizo ni hadithi tu za watu
Mkuu wewe ni dini na dhehebu gani?Unajua kuna vitu ambavyo wala haukupaswa kuhoji mpaka vinaleta wasiwasi kwamba elimu yako ni kiasi gani? Maana kwa mtu muelewa kabisa anaweza kutambua na kuona mambo yaliyo dhahiri kabisa, kwa hiyo naomba unijibu
Kufika au kutokujua zimetoka wapi zinathibitisha vipi kama zimewekwa pale? Naomba unipe elimu isiyo na mashaka lengo ni kujifunza! Pengine sifaham zilipotoka lakini kwann ww tayar una conclude zimewekwa pale? Au ni imani na vitabu vya dini ulivyosomaNimekuuliza wewe unayesema kwamba unaziona na zipo pale, na umekubali. Nakuuliza je unafahamu zimetoka wapi? Je umeshawahi achilia mbali kufika hata kuisogelea tu ile nyota ya karibu kabisa Proxima centauri?
Sasa kama una akili mbona sizioni? Ebu zibebe uje nazo hapa!Sawa. Na mimi kama sina akili, hilo nalo litazidi kuthibitisha Mungu hayupo.
Mimi sijasema nina akili, nimesema Mungu hayupo.
Hoja ni Mungu kuwapo, si mimi kuwa na akili.
Usibadilishe hoja.
Hiyo process ya reproduction na kanuni za kibayolojia zilizoset in motion mpaka ukawepo unadhani zilitokea kwa bahati mbaya au kuna force behind?
Ulishasikia wap akili zinataka kuabudiwa na usipo ziabudu kuna moto , kwamba akili ndio Mungu?Sasa kama una akili mbona sizioni? Ebu zibebe uje nazo hapa!
Duh yaani hata kabla sijakuuliza au kukueleza point yangu tayari umesharukia mambo ambayo hata sikumaanisha. Anyway, Sasa kama akili zako zimeshindwa kuchanganua hata mambo madogo kama hayo, kweli kwa akili hizo hizo unatumia kuhoji utendaji wa Mungu? Seriously?Kufika au kutokujua zimetoka wapi zinathibitisha vipi kama zimewekwa pale? Naomba unipe elimu isiyo na mashaka lengo ni kujifunza! Pengine sifaham zilipotoka lakini kwann ww tayar una conclude zimewekwa pale? Au ni imani na vitabu vya dini ulivyosoma