Joseph Gadiel
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 452
- 765
Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwenye macho ya kuuona ulimwengu na yale yaliyomo na masikio ya kusikia akaja na hoja ya aina yoyote ile ya kupinga uwepo wa Mungu. Ndiyo maana nadhani unahitaji msaada zaidiKwa hivyo unakubali kwamba ulikuwa umedandia treni kwa mbele kufikiri napinga uwepo wa Mungu kwa sababu siwezi kumgusa wakati hata huelewi sababu zangu za kupinga uwepo wa Mungu?
Uthibitisho upo kwenye hii picha hapa chiniNimeomba unithibitishie kuwa hayupo, wewe unasema hawezi kuthibitika na kwamba huo ni uthibitisho tosha. Sasa hapo mbona bado hijaeleweka mkuu.
Unaelewa logical consistency ni nini?Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwenye macho ya kuuona ulimwengu na yale yaliyomo na masikio ya kusikia akaja na hoja ya aina yoyote ile ya kupinga uwepo wa Mungu. Ndiyo maana nadhani unahitaji msaada zaidi
Sijasema swala ni milango ya fahamu , soma kwa ufahamu, kulingana na nilichokujibu ama kukuuliza , Mimi nakuambia Mungu ni dhana tu hayupo na wala hawezi kuwepo , kutokana na mikanganyiko ndani ya vitabu vya dini na utofauti wa tabia za Mungu ndani ya jamii mbalimbali ,inathibitisha Mungu ni nadharia ya kimapokeo tu , yani kila jamii iliposhindwa kupata majibu ya maswali yao walitengeneza hii nadharia kulingana na Mila zao na tamaduni zao.Hapa ndipo shida inapoanzia. Kwa hiyo swala ni milango mitano ya fahamu? Kama aliyekutengeneza aliamua kuopt kukuacha na milango mitano ya fahamu, vipi kama kuna mlango wa sita, saba, nane..... hiyo mingine iliyopo unaifahamu? Sasa kama issue kama hiyo hauna majibu yake, unathubutu vipi kumhoji huyo aliyeamua iwe hivyo? Wewe unajua yeye amebaki na milango mingapi?
Maneno hayo ni ya kiimani tu hakuna hata dalili ya uwepo wa Mungu muweza wa yote.Ukifungua tu macho na kutazama wala hauna haja ya kuhoji kama yupo au hayupo! Jibu lipo wazi kabisa! Kuhusu utendaji wake hizo na akili na makusudi yake ambayo siwezi kuhoji!
Mkuu hapo unapoteza muda wako bure tuUnaelewa logical consistency ni nini?
Sayansi haiwezi kuthibitisha uwepo wa Pazi aliyebebwa na jogoo, Superman, Spiderman, Unicorn, Hulk nk.Iko hivi mkuu mimi naipenda sayansi na ninaijua kiasi chake, mapungufu ya sayansi ni kwamba bado kuna vitu vingi haijavigundua.
Hivyo, sayansi haiwezi kuthibitisha kutokuwepo kwa Mungu ila haikubaliani na uwepo wake lakini weka kwenye akili kwamba science sio absolute ni bado ina safari ndefu ya kugundua vitu vingi.
Mkuu hapo unapoteza muda wako bure tu
Huyu ni KIPOFU wa imani, logic haina nafasi kabisa kwenye akili yake anapojadili habari za Mungu wake
Hii dunia unayoishi ipo kiimani? Hizo nyota zipo kiimani? Jua na mwezi vipo kiimani? Mifumo yote ya ecolojia na uhai ipo kiimani?Maneno hayo ni ya kiimani tu hakuna hata dalili ya uwepo wa Mungu muweza wa yote.
Kama huyo Mungu anaweza kuwepo tu hata vyote hivyo vinaweza kuwepo tu bila chanzo .Hii dunia unayoishi ipo kiimani? Hizo nyota zipo kiimani? Jua na mwezi vipo kiimani? Mifumo yote ya ecolojia na uhai ipo kiimani?
Au unadhani vilitokea tokea tu?
WordNi sawa na wewe na mke wako then aanzishe uhusiano uliosawa na wa kwako kwa mwanaume mwingine.
Tafsiri utayoipata moyoni mwako ndio hiyo iliyomaanishwa kwenye hayo maandiko, halafu upime mwenyewe kama ni sawa au si sawa.
Anakua na wivu wa nini wakati kila kitu ni chake wanavyodai mpka shetani 😄Kiufupi: mtu akikwambia nakupenda ila sina wivu na wewe ujue umepigwa
Unazo nyingi, hebu tuoneshe kama kweli unazoNyingi sana! Lakini haziwezi hata kumkaribia yule aliyenipatia 😄
Unazidi kupanua wigo wa mambo ambayo huwezi kuyathibitisha kivyovyote vile , kama unakataa thibitisha uwepo wa roho na mwanamke kujifungua mtoto bila kufanya ngono kwa kutumia hizo fikira na hisia ambazo hazifuati logic.Ulimwengu wa roho hautumii fact na logic za kisayansi. Unatumia fikra, hisia na mambo yasiyoweza thibitishwa kwa kutumia logic.
Kuna logic ya maria kupata ujauzito bila mbegu za mwanaume? Ndo maana nakuambia FIKIRI. Ukifikiri hutotutumia nguvu na kamwe hutojadili kuhusu uwepo wa MUNGU nje ya masuala ya imani.
Oksijeni ipo.Hiyo Oksijeni tu unayovuta ni kithibitisho tosha
Kuna phenomenom sio lazima uziguse au uhisi ndizo uamini kwamba zipo, lakini kwa kutazama matokea ya utendaji kazi wake ndipo tunapoamini kwamba kweli jambo lipo au halipo, Same to God!Unazo nyingi, hebu tuoneshe kama kweli unazo