Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Hongera kwa kuvumilia maumivu ya tozo, pia msisahau kulipa ada kwa wale mliozaa kwenye ndoa au nje ya ndoa.
Kwa nini mwanamke akitaka kuolewa kuna huu upuuzi sijui;
Hivi ndoa haiwezi kufanyika bila huu mlolongo wa ukiritimba? Na kwa nini wanawake wanaendekeza huu upuuzi?
Kwa nini mwanamke akitaka kuolewa kuna huu upuuzi sijui;
- Kupeleka barua ya posa
- Sijui kutoa mahari
- Sijui Kumvalisha pete ya uchumba
Hivi ndoa haiwezi kufanyika bila huu mlolongo wa ukiritimba? Na kwa nini wanawake wanaendekeza huu upuuzi?