Hivi kwanini mwanga wa mshumaa huhamasisha sana yale mambo yetu kuliko umeme?

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
997
Reaction score
1,220
Habarini!

Nikiwa nina uhakika wabongo na masuala ya ngono hawatenganishiki kama kahawa na kashata, sijistukii na wala sina hofu yoyote ya kuleta Uzi huu asubuhi kama hii ya kazi. Siajabu wakurugenzi wakawa wa kwanza kuisoma.

Kwenye mada!

Ndugu, mmeshakokotana hadi chumbani na hamjisikii mzuka wowote? Zimeni hiyo taa ya umeme na washeni mshumaa. Munkari utakaozaliwa hapo mtakuja kunishukuru. Hata sijui kwanini?

Tupeane majibu ya kisayansi.

Karibuni.
 
Subiri sasa wakuiga mambo bila kujua wafanyalo waishie kuchoma moto vijumba vyao.
Kutoka kwenye ngono mpaka mbupu kugeuka kuwa ndafu.

Sio kila mshumaa tu, hii ya mitaani unaweza ishia na TB sababu ya mimoshi.

Kuna special scented candles, ambayo hata harufu yake inavutia na kuna factors nyingine nyingi za kuzingatia, kama usafi wa mazingira, utulivu, hewa nzuri. Sio chumba hicho hicho kinatumika kama jiko, ndoo kila sehemu, njee vitoto vinagonga dirisha halafu utarajie mshumaa wako utaongeza hamu.

Ila hayo yote ni mbwebwe, mchawi jogoo kupanda mtungi, kama mzee wa kimoko chali, hata uwashe bangi chumbani usitarajie miujiza.
 
Nani anapenda chunguliwaaa .... Zima vyoteee baby
1728367936846.png
 
Subiri sasa wakuiga mambo bila kujua wafanyalo waishie kuchoma moto vijumba vyao.
Kutoka kwenye ngono mpaka mbupu kugeuka kuwa ndafu.

Sio kila mshumaa tu, hii ya mitaani unaweza ishia na TB sababu ya mimoshi. Kuna special scented candles, ambayo hata harufu yake inavutia na kuna factors nyingine nyingi za kuzingatia, kama usafi wa mazingira, utulivu, hewa nzuri. Sio chumba hicho hicho kinatumika kama jiko, ndoo kila sehemu, njee vitoto vinagonga dirisha halafu utarajie mshumaa wako utaongeza hamu.

Nimecheka Kifala 😂😂
 
Habarini!

Nikiwa nina uhakika wabongo na masuala ya ngono hawatenganishiki kama kahawa na kashata, sijistukii na wala sina hofu yoyote ya kuleta Uzi huu asubuhi kama hii ya kazi. Siajabu wakurugenzi wakawa wa kwanza kuisoma.

Kwenye mada!

Ndugu, mmeshakokotana hadi chumbani na hamjisikii mzuka wowote?!!
Zimeni hiyo taa ya umeme na washeni mshumaa......munkari utakaozaliwa hapo mtakuja kunishukuru. Hata sijui kwanini?.

Tupeane majibu ya kisayansi,
Karibuni.
Kuzima taa wakati wa kula msosi wa usiku ni uoga wa mawili aidha
1.mwanaume anafangasi

2.mwanamke Ana vile vimstari vyeusi kwenye (thigh) na kwenye mat-ackle🏃‍♂️😆over
 
swadakta.
 
Habarini!

Nikiwa nina uhakika wabongo na masuala ya ngono hawatenganishiki kama kahawa na kashata, sijistukii na wala sina hofu yoyote ya kuleta Uzi huu asubuhi kama hii ya kazi. Siajabu wakurugenzi wakawa wa kwanza kuisoma.

Kwenye mada!

Ndugu, mmeshakokotana hadi chumbani na hamjisikii mzuka wowote?!!
Zimeni hiyo taa ya umeme na washeni mshumaa......munkari utakaozaliwa hapo mtakuja kunishukuru. Hata sijui kwanini?.

Tupeane majibu ya kisayansi,
Karibuni.
Umalaya tu
 
Subiri sasa wakuiga mambo bila kujua wafanyalo waishie kuchoma moto vijumba vyao.
Kutoka kwenye ngono mpaka mbupu kugeuka kuwa ndafu.

Sio kila mshumaa tu, hii ya mitaani unaweza ishia na TB sababu ya mimoshi.

Kuna special scented candles, ambayo hata harufu yake inavutia na kuna factors nyingine nyingi za kuzingatia, kama usafi wa mazingira, utulivu, hewa nzuri. Sio chumba hicho hicho kinatumika kama jiko, ndoo kila sehemu, njee vitoto vinagonga dirisha halafu utarajie mshumaa wako utaongeza hamu.

Ila hayo yote ni mbwebwe, mchawi jogoo kupanda mtungi, kama mzee wa kimoko chali, hata uwashe bangi chumbani usitarajie miujiza.
Nakazia, mtu ana marejesho yake 7 alafu umuwashie mshumaa unadhani kuna kitakachoongezeka?
 
Back
Top Bottom