BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Weka taa ya rangi utajua hujui. Yaan taa ya rangi na ngono ni pipa na mfuniko wakeHabarini!
Nikiwa nina uhakika wabongo na masuala ya ngono hawatenganishiki kama kahawa na kashata, sijistukii na wala sina hofu yoyote ya kuleta Uzi huu asubuhi kama hii ya kazi. Siajabu wakurugenzi wakawa wa kwanza kuisoma.
Kwenye mada!
Ndugu, mmeshakokotana hadi chumbani na hamjisikii mzuka wowote? Zimeni hiyo taa ya umeme na washeni mshumaa. Munkari utakaozaliwa hapo mtakuja kunishukuru. Hata sijui kwanini?
Tupeane majibu ya kisayansi.
Karibuni.