Hivi kwanini mwendokasi wasitengeneze mfumo uunganishwe na simu banking watu wawe wanascan tu kupata huduma? Hili la kadi ni gharama

Hata ivyo kwa maelezo yao ni kama serikali ni wamiliki wa miundombinu tu, si unajua bara bara ni za umma
NDIO HIVYO INATAKIWA IWE KAMA HIZI DALADALA TU SERIKALI IBAKI KUMILIKI BARABARA TU NA MIUNDOMBINU YAKE NA WATAKAOPEWA ZABUNI WANATAKIWA WALIPIE KODI HIYO MIUNDOMBINU.

PIA KUPITIA KUKATA TIKETI KWA MFUMO HUO WA QR CODE MAPATO HAYAPOTEI NA YANAINGIA SERIKALINI MOJA KWA MOJA.

๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐ŸšจTENA HATA HIZI DALADALA ZA KAWAIDA WANAPIGA SANA PESA ILA KWASABABU BIASHARA INAENDESHWA KIHUNI HAKUNA GAWIO LINAENDA SERIKALINI NA NDIO MAANA KUNA UTITIRI WA DALADALA NA HAPO SERIKALI INAPOTEZA MAPATO MENGI SANA.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒHAYA MAPATO YANGEWEZA KUONGEZA NGUVU KATIKA KUPATA HUDUMA ZA AFYA BURE KABISA KATIKA MAHOSPITALI NA VITUO VYA AFYA.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒHATA HUKU MITAANI ILI SERIKALI ISIENDELEE KUPOTEZA KODI KWENYE HAYA MADUKA YA AKINA MANGI WAENFORCE CASHLESS PAYMENT THROUGH LIPA NAMBA NA TRANSACTION ZOTE ZIWE KUPITIA MTANDAO.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒMAHOSPITALINI NA KOKOTE KULE PANAPOHITAJI KULIPIA HUDUMA NI CONTROL NAMBA TU ITUMIKE AU LIPA NAMBA.HII ITASAIDIA KUWEZA KUZIMONITOR TRANSACTIONS NA KUPATA KODI STAHIKI.

HII NCHI IKIWA CASHLESS URASIMU NA MADILI YATAISHA.NA SHERIA KALI ZITUNGWE KWA WALE WOTE WATAKAO FANYA MALIPO KWA MKONO KUPATA HUDUMA.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒNYUMBA ZA KUPANGA NAZO KODI ZIPITIE LIPA NAMBA AMBAYO TIN NAMBA ZA MWENYE NYUMBA NA MPANGAJI ZINASOMEKA KWENYE RISITI.HUKO NAPO SERIKALI INAPOTEZA MAPATO๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€WATU WAKIANZA KULIPISHWA KATIKA KILA KITU KODI MBONA MJINI WAZURURAJI WATARUDI VIJIJINI KULIMA.MADALALI WATALIA SANA๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒVIDUKA VYA MTAANI VYA NGUO NA VYA MAKOROKORO MENGINE NAVYO VIWE NA LIPA NAMBA, WATU WALIPE KODI. MBONA NDANI YA MIEZI 3 DAR KUNAKUKUWA HAKUNA MSONGAMANO๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ NA HAPO NDO UWAJIBIKAJI NA HUDUMA BORA UTAPATIKANA.
 
Namaanisha unatakiwa ukiingia kwenye apps za SIMBANKING ukute huduma za meendokasi au vivuko vya frrry .AU HATA HIYO MWENDOKASI APP ukute option za mabenki ambapo saivi hakuna kuna mitandao ya simu pekee.
Nadhani hizi lawama zinazihusu bank zinazotuhudumia,wao ndiyo wanatakiwa waiongeze Mwendokasi ktk opti za app zao,hata sasa Mwendokasi App ukiingia kuongeza salio itakuletea mitandao ya simu iliyokubali ubia nao so utakapochagua mf Vodacom yenyewe itakuletea control number u-copy kisha uingie mfumo wa mtandao uliochagua ndiyo ukaongeze salio.

So mimi naona shida haipo Mwendokasi shida ipo kwenye mitandao na bank tunazotumia kwa maana kwamba hata bank zikiwekwa bado Mwendokasi itakutaka u-copy namba ndiyo uende kwenye mfumo wao cha kufanya ni bank kuongeza ktk app zao malipo ya Mwendokasi kama walivyoweka options za dawasa luku etc.
 
Hizi taasisi bila anayeziREGULATE ambaye ni mtunga sera, big boss SERIKALI kuzienforce kuendana na sera za nchi wao watafanya waonavyo na sio katika mahitaji yote mnayotaka nyie.

Shida haipo mwendokasi???,hivi kweli wewe umeshapanda mwendokasi hivi karibuni au unausikia tu mitandaoni????!!!!!
 
wakifanya hivyo, watu hawatapiga pesa. hii ndio bongo.
 
wakifanya hivyo, watu hawatapiga pesa. hii ndio bongo.
TRUMPET AKIENDELEA KUKAZA LAZIMA AKILI ITATUKAA FRESH NA TUTAANZA KUISHI KAMA WATU WENYE AKILI!!!

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒBABA TRUMP, KAZA HIVYOHIVYO HAKUNA KUPOA!!!
 
Wafanyakazi wa serikali hawajawahi kuwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ