Hivi kwanini mwendokasi wasitengeneze mfumo uunganishwe na simu banking watu wawe wanascan tu kupata huduma? Hili la kadi ni gharama

Hivi kwanini mwendokasi wasitengeneze mfumo uunganishwe na simu banking watu wawe wanascan tu kupata huduma? Hili la kadi ni gharama

Hata ivyo kwa maelezo yao ni kama serikali ni wamiliki wa miundombinu tu, si unajua bara bara ni za umma
NDIO HIVYO INATAKIWA IWE KAMA HIZI DALADALA TU SERIKALI IBAKI KUMILIKI BARABARA TU NA MIUNDOMBINU YAKE NA WATAKAOPEWA ZABUNI WANATAKIWA WALIPIE KODI HIYO MIUNDOMBINU.

PIA KUPITIA KUKATA TIKETI KWA MFUMO HUO WA QR CODE MAPATO HAYAPOTEI NA YANAINGIA SERIKALINI MOJA KWA MOJA.

🚨🚨🚨TENA HATA HIZI DALADALA ZA KAWAIDA WANAPIGA SANA PESA ILA KWASABABU BIASHARA INAENDESHWA KIHUNI HAKUNA GAWIO LINAENDA SERIKALINI NA NDIO MAANA KUNA UTITIRI WA DALADALA NA HAPO SERIKALI INAPOTEZA MAPATO MENGI SANA.

📌📌HAYA MAPATO YANGEWEZA KUONGEZA NGUVU KATIKA KUPATA HUDUMA ZA AFYA BURE KABISA KATIKA MAHOSPITALI NA VITUO VYA AFYA.

📌📌HATA HUKU MITAANI ILI SERIKALI ISIENDELEE KUPOTEZA KODI KWENYE HAYA MADUKA YA AKINA MANGI WAENFORCE CASHLESS PAYMENT THROUGH LIPA NAMBA NA TRANSACTION ZOTE ZIWE KUPITIA MTANDAO.

📌📌MAHOSPITALINI NA KOKOTE KULE PANAPOHITAJI KULIPIA HUDUMA NI CONTROL NAMBA TU ITUMIKE AU LIPA NAMBA.HII ITASAIDIA KUWEZA KUZIMONITOR TRANSACTIONS NA KUPATA KODI STAHIKI.

HII NCHI IKIWA CASHLESS URASIMU NA MADILI YATAISHA.NA SHERIA KALI ZITUNGWE KWA WALE WOTE WATAKAO FANYA MALIPO KWA MKONO KUPATA HUDUMA.

📌📌📌NYUMBA ZA KUPANGA NAZO KODI ZIPITIE LIPA NAMBA AMBAYO TIN NAMBA ZA MWENYE NYUMBA NA MPANGAJI ZINASOMEKA KWENYE RISITI.HUKO NAPO SERIKALI INAPOTEZA MAPATO😀😀😀WATU WAKIANZA KULIPISHWA KATIKA KILA KITU KODI MBONA MJINI WAZURURAJI WATARUDI VIJIJINI KULIMA.MADALALI WATALIA SANA😂😂😂

📌📌📌VIDUKA VYA MTAANI VYA NGUO NA VYA MAKOROKORO MENGINE NAVYO VIWE NA LIPA NAMBA, WATU WALIPE KODI. MBONA NDANI YA MIEZI 3 DAR KUNAKUKUWA HAKUNA MSONGAMANO👋👋😂😂😂😂

📌📌📌 NA HAPO NDO UWAJIBIKAJI NA HUDUMA BORA UTAPATIKANA.
 
Namaanisha unatakiwa ukiingia kwenye apps za SIMBANKING ukute huduma za meendokasi au vivuko vya frrry .AU HATA HIYO MWENDOKASI APP ukute option za mabenki ambapo saivi hakuna kuna mitandao ya simu pekee.
Nadhani hizi lawama zinazihusu bank zinazotuhudumia,wao ndiyo wanatakiwa waiongeze Mwendokasi ktk opti za app zao,hata sasa Mwendokasi App ukiingia kuongeza salio itakuletea mitandao ya simu iliyokubali ubia nao so utakapochagua mf Vodacom yenyewe itakuletea control number u-copy kisha uingie mfumo wa mtandao uliochagua ndiyo ukaongeze salio.

So mimi naona shida haipo Mwendokasi shida ipo kwenye mitandao na bank tunazotumia kwa maana kwamba hata bank zikiwekwa bado Mwendokasi itakutaka u-copy namba ndiyo uende kwenye mfumo wao cha kufanya ni bank kuongeza ktk app zao malipo ya Mwendokasi kama walivyoweka options za dawasa luku etc.
 
Nadhani hizi lawama zinazihusu bank zinazotuhudumia,wao ndiyo wanatakiwa waiongeze Mwendokasi ktk opti za app zao,hata sasa Mwendokasi App ukiingia kuongeza salio itakuletea mitandao ya simu iliyokubali ubia nao so utakapochagua mf Vodacom yenyewe itakuletea control number u-copy kisha uingie mfumo wa mtandao uliochagua ndiyo ukaongeze salio.

So mimi naona shida haipo Mwendokasi shida ipo kwenye mitandao na bank tunazotumia kwa maana kwamba hata bank zikiwekwa bado Mwendokasi itakutaka u-copy namba cha kufanya ni bank kuweka malipo ya Mwendokasi kama walivyoweka options za dawasa luku etc.
Hizi taasisi bila anayeziREGULATE ambaye ni mtunga sera, big boss SERIKALI kuzienforce kuendana na sera za nchi wao watafanya waonavyo na sio katika mahitaji yote mnayotaka nyie.

Shida haipo mwendokasi???,hivi kweli wewe umeshapanda mwendokasi hivi karibuni au unausikia tu mitandaoni????!!!!!
 
Hivi ni kweli Mwendokasi wamekosa wataalamu kabisa wa kutengeneza mfumo wa malipo ya kuscan kwa kutumia smart phones. Hoja ya kwamba sio watu wote wana simu janja ni hoja mufilisi ukilinganisha na hoja ya kadi ambayo ilishaprove failure hapo awali.

Kwanini THINK TANK ya hii nchi haipendi kufikiria nje ya box?

Huu ni mradi ambao huko duniani wanatuona KITUKO maana umejaa ubabaishaji, ukosefu wa mipango ya mda mrefu na suluhu za kudumu.

Suala la kila uendapo unakuwa na msururu wa kadi hii sio maendeleo bali ni shida ukizingatia ukuaji wa tekinolojia na maendeleo.Kadi inaweza kubaki kwa WANAFUNZI na wasio na SIMU JANJA, ila kutokana na maendeleo na upatikanaji wa simu janja naimani watu wengi wengependa kutumia system ya KUSCAN.

Hii Sytem iungwe na mifumo ya kibenki ambapo MITANDAO ya simu ikiwa na CHANGAMOTO mtu anakuwa na option ya KUINGIA SIM BANKING na kupata huduma bila usumbufu wowote.

📌📌📌📌Tunapotaka kupunguza urasimu na upotevu wa mapato ni LAZIMA tuenforce CASHLESS PAYMENT SYSTEM ILIYO INTERGRATED NA SYSTEM ZOTE ZA HUDUMA NA SERIKALI.PIA ILIYO BORA NA INAYOPATIKANA 24/7 MWAKA MZIMA katika kila huduma zitolewazo hapa nchini.

📌📌📌Swala la upatikanaji wa mtandao hapo ndo WAHUSIKA WAWARUHUSU SASA STAR LINK kutuletea huduma ya mtandao ambayo itawezesha upatikanaji wa internent ya kasi na bora katika vipindi vyote vya mwaka.

System zote sinatakiwa ziwe na QR CODE kupunguza urasimu. Pia hili linaenda sambamba na kupunguza gharama za MABANDO.

Ikishindikana MRADI wapewe sekta binafsi hata wanne tofauti njia ya Tegeta iwe na kampuni yake,Njia ya Ubungo kampuni yake, Mbagala na Gongolamboto na zenyewe ziwe na makampuni yao pia. Waendeshe miradi serikali isimamie NAULI na KODI.

🚨🚨Atakaeshindwa kuendesha anyang'anywe mradi apewe anayeweza na vyote hivyo viwe na vipengele kwenye mikataba watayoingia na serikali .Kupitia huo ushindani huduma zitaimarika na ufanisi utaonekana.
wakifanya hivyo, watu hawatapiga pesa. hii ndio bongo.
 
wakifanya hivyo, watu hawatapiga pesa. hii ndio bongo.
TRUMPET AKIENDELEA KUKAZA LAZIMA AKILI ITATUKAA FRESH NA TUTAANZA KUISHI KAMA WATU WENYE AKILI!!!

📌📌📌BABA TRUMP, KAZA HIVYOHIVYO HAKUNA KUPOA!!!
 
Hivi ni kweli Mwendokasi wamekosa wataalamu kabisa wa kutengeneza mfumo wa malipo ya kuscan kwa kutumia smart phones. Hoja ya kwamba sio watu wote wana simu janja ni hoja mufilisi ukilinganisha na hoja ya kadi ambayo ilishaprove failure hapo awali.

Kwanini THINK TANK ya hii nchi haipendi kufikiria nje ya box?

Huu ni mradi ambao huko duniani wanatuona KITUKO maana umejaa ubabaishaji, ukosefu wa mipango ya mda mrefu na suluhu za kudumu.

Suala la kila uendapo unakuwa na msururu wa kadi hii sio maendeleo bali ni shida ukizingatia ukuaji wa tekinolojia na maendeleo.Kadi inaweza kubaki kwa WANAFUNZI na wasio na SIMU JANJA, ila kutokana na maendeleo na upatikanaji wa simu janja naimani watu wengi wengependa kutumia system ya KUSCAN.

Hii Sytem iungwe na mifumo ya kibenki ambapo MITANDAO ya simu ikiwa na CHANGAMOTO mtu anakuwa na option ya KUINGIA SIM BANKING na kupata huduma bila usumbufu wowote.

📌📌📌📌Tunapotaka kupunguza urasimu na upotevu wa mapato ni LAZIMA tuenforce CASHLESS PAYMENT SYSTEM ILIYO INTERGRATED NA SYSTEM ZOTE ZA HUDUMA NA SERIKALI.PIA ILIYO BORA NA INAYOPATIKANA 24/7 MWAKA MZIMA katika kila huduma zitolewazo hapa nchini.

📌📌📌Swala la upatikanaji wa mtandao hapo ndo WAHUSIKA WAWARUHUSU SASA STAR LINK kutuletea huduma ya mtandao ambayo itawezesha upatikanaji wa internent ya kasi na bora katika vipindi vyote vya mwaka.

System zote zinatakiwa ziwe na QR CODE kupunguza urasimu. Pia hili linaenda sambamba na kupunguza gharama za MABANDO.

Ikishindikana MRADI wapewe sekta binafsi hata wanne tofauti njia ya Tegeta iwe na kampuni yake,Njia ya Ubungo kampuni yake, Mbagala na Gongolamboto na zenyewe ziwe na makampuni yao pia. Waendeshe miradi serikali isimamie NAULI na KODI.

🚨🚨Atakaeshindwa kuendesha anyang'anywe mradi apewe anayeweza na vyote hivyo viwe na vipengele kwenye mikataba watayoingia na serikali .Kupitia huo ushindani huduma zitaimarika na ufanisi utaonekana.
Wafanyakazi wa serikali hawajawahi kuwa hivyo
 
Back
Top Bottom